Shida inaanzia kwako, huna taarifa sahihi na kamili juu ya suala la mkataba husika, si kila mkataba unakuwa fully exposed to the general public, kuna some common areas zinakuwa exposed na zinatumika kama ni "mileage aspect" kwa wanasiasa kukaliana kooni kwenye rasilimali za taifa kwa maana ya ulaji, kwa hivyo hizo some exposed areas, hutumika pia kama ni "weakness hole" by the opponent, so hapa utapokea ushauri wa kipinzani zaidi kutokana na namna nilivyoeleza.View attachment 2602708
Kwamba sisi tuaambulia $ 600+ milioni wakati wao watavuna mabilioni ya dollars kila mwaka.
Madini ya graphite yanapatikana kwa wingi huko Lindi wakati niobium ipo tele pale Panda Hill Mbeya. Kwa nini tusingesubiri nchi ipate uwezo tuweze kuchimba wenyewe badala ya kuwapa hawa wa Australia kwa bei ya kutupa?
Prof. Kabudi na Prof. Mruma kweli hamkuona mtego huu Wa- Australia hawa hakituingiza chaka!
Tafadhali tunaomba ufafanuzi!
Wacha kujidanganya na assumptions za uwongo. Eti kwa vile gereza la Songwe lilikuwa pale inamaanisha Nyerere alikuwa anahifadhi madini?Utafiti ulikwisha fanywa kabla hujazaliwa kilichokuwa kinasubiriwa ni kuanza uchimbaji tu!
Sasa wewe ndiyo shida mwenyewe kwa kujifanya unafahamu siri za serikali wakati ni kapuku tu unasubiri sadaka!Shida inaanzia kwako, huna taarifa sahihi na kamili juu ya suala la mkataba husika, si kila mkataba unakuwa fully exposed to the general public, kuna some common areas zinakuwa exposed na zinatumika kama ni "mileage aspect" kwa wanasiasa kukaliana kooni kwenye rasilimali za taifa kwa maana ya ulaji, kwa hivyo hizo some exposed areas, hutumika pia kama ni "weakness hole" by the opponent, so hapa utapokea ushauri wa kipinzani zaidi kutokana na namna nilivyoeleza.
Acha kuonyesha ujinga wako hadharani! Kama wewe ulikuwa hujui jiite mjinga lakini wajuzi wanafahamu matumizi yake tangu kitambo!Wacha kujidanganya na assumptions za uwongo. Eti kwa vile gereza la Songwe lilikuwa pale inamaanisha Nyerere alikuwa anahifadhi madini?
Kwa Songwe hapana, sema haya madini ni gemstones kama zongine tu ila matumizi yake zamani hayakuwako kama hiyo ya ku preserve joto kwenye ndege, smart phone na batteries.
Kisayansi mawe yote yana majina kama yalivyo majani au wanyama.
Kwa hiyo hata kama Nyerere angekuwa na uwezo wa kuchimba lakini asingejuwa ayatumie vipi
Ningemuhusisha mwamba freedom fighter Freeman Aikael Mbowe na mambo yote yangeenda sawa.Je Mayor Quimby ungekuwa wewe ndiyo Rais wa Tanzania ungeweka vipi ili mkataba uonekane una masilahi kwa Taifa?
Mkuu GT usiangake sana na wabongo. Wee tulia kwako kwenye swimming pool yako na kisima chako kinachobubujika maji na usiache kuwasaidia wanaokuzunguka maji.Usokwe ni pale tunapofikiri kuwa Yepi Merkezi ni Shirika la Umma la Tanzania.
Watanzania ni Masokwe yaliyochangamka kidogo.
Asante kwa ushauri.Mkuu GT usiangake sana na wabongo. Wee tulia kwako kwenye swimming pool yako na kisima chako kinachobubujika maji na usiache kuwasaidia wanaokuzunguka maji.
Kwani lazima tuchimbe sasa?
Unasikitisha
Haahah
Wakati maeneo ya graphite yapo mengi tu kama wanataka na wao waingie kuchimba
Ova
Na Mimi nakazia Hakuna kitu kama hicho !! Hata dhahabu wanaume wa shoka walikubali Serikali iwe inapata asilimia 3 na wenye mgodi wachukue 97% kama sikosei kipindi kileeee !!Hakuna kitu kama hicho.. 99% ya madini yote yamesha gunduliwa..
Umeliweka vizuri. Watu wananangalia faida tu ila wanasahau gharama za utafiti na uchimbaji
Weka ushahidi, kinyume chake utakuwa ni bingwa wa matusi. JF ni mahali ambapo kama unajuwa unaweka hoja na siyo kuweka sweeping statements za kudharau na kutukanaAcha kuonyesha ujinga wako hadharani! Kama wewe ulikuwa hujui jiite mjinga lakini wajuzi wanafahamu matumizi yake tangu kitambo!
Mbowe elimu yake mwisho FVI pale Ihungo Secondary. Experience yake ni clerk BOT na owner wa Bilicanas club. Otherwise ni mtaalamu wa siasa. Atakusaidiaje huyu kwenye mikataba. Labda unimabie Tundu LissuNingemuhusisha mwamba freedom fighter Freeman Aikael Mbowe na mambo yote yangeenda sawa.
View attachment 2602708
Kwamba sisi tuaambulia $ 600+ milioni wakati wao watavuna mabilioni ya dollars kila mwaka.
Madini ya graphite yanapatikana kwa wingi huko Lindi wakati niobium ipo tele pale Panda Hill Mbeya. Kwa nini tusingesubiri nchi ipate uwezo tuweze kuchimba wenyewe badala ya kuwapa hawa wa Australia kwa bei ya kutupa?
Prof. Kabudi na Prof. Mruma kweli hamkuona mtego huu Wa- Australia hawa hakituingiza chaka!
Tafadhali tunaomba ufafanuzi!
Wapumbavu wanadhani uwekezaji wa madini sawa na kufungua saloon ya nywele au grocery.Tunawauliza ni taasisi gani ya serikali inajiendesha kwa faida hawana jibu.
Leganga na Mchuchuma inayotaka 3B TSH tu kujiendesha kwa faida imewashinda, leo wanajikuta experts wa madini ambayo hawana hata maabara nchini ya kuyapima. Mtu awekeze kila kitu afu ule nae sawa utakua na wazimu kuomba huo usawa.
Unaweza pewa hisa 50% na usipate hata hiyo 600M USD kama your input doesn't match the input ya mwenzako.
Kwani kuna data au ushahidi wo wote wewe umeweka? Halafu nimeona mahali umepotosha kuwa niobium na graphite ni gemstones huo ni uongo. Fanya assignment yako vizuri hizo ni metals!Weka ushahidi, kinyume chake utakuwa ni bingwa wa matusi. JF ni mahali ambapo kama unajuwa unaweka hoja na siyo kuweka sweeping statements za kudharau na kutukana