Ni kweli Makonda anatumiwa kuwapoza wasukuma ili kupunguza makali ya 2025?

nuporo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
1,534
Reaction score
3,387
Namnukuu member wa Jf Glenn katika moja ya comment yake namnukuu

"Ukweli mchungu Msoga wenye nchi kamwe hawataki hata kumsikia Makonda. Pia Kinana na Makonda haziivi hata chembe"

NOTE:
Ikumbukwe kuwa CCM jambo lao kuu kuliko yote ni kubaki kuwa Chama Bola chama Tawala iwe kwa namna yeyote Ile ila muhimu kiwepo madarakani.

hata Kama ikimuona Mtu flani wa chama fulani ni muhimu kwao ili chama kitimize dhamira yake itafanya chochote apatikane.

"CCM haiwatupi watu wake huwa ni suala la muda tu. Upepo ukitulia wanarudishwa."
 
Lakini Gwaji boy alikuwa anasema ukweli kuhusu Bashite....

 
Binafsi sina simle kabisa na maswala haya ya kikabila au kimakundi yenye lebo za kijinga jinga.

Lakini katika haya yanayotokea sasa, mbona hili kabila la kisukuma linadhalilishwa namna hii?

Yaani kundi zima wafanyiwe jambo (uteuzi) wa kipuuzi namna hii na wao, kama kundi zima akili ziwaruke vichwani na kuchagua hao wateuzi kwa kuwapa kura?

Hivi waTanzania mbona tunadharaulika kiasi hiki?
Hawa wapuuzi wa CCM sasa wanaona nchi nzima kama ya watu majuha tu, wasiojua lolote kuhusu mwelekeo wa nchi yao!

Haya kwa kweli yanaudhi sana.
 
kwani Mwanza ni ya wasukuma tu kumbuka Mwanza na kanda ya ziwa ina makabila mengi mno, hivyo usipotoshe kuna wakurya,wahaya wanyamwezi, wajita, wakerewe na hata wangoni na wachaga kwa mjini. ni mchanganyiko mno hivyo kutuhumu wasukuma pekee kwa kanda ya ziwa ni upeo mdogo wa kufikiri. Uwingi wa watu Mwanza kwa ujumla wake ndiyo nguzo ya CCM kanda ya ziwa. wapinzani wanashindwa kuitumia vyema kete hiyo.
 
Kwanini awapoze wasukuma, walichukia nini? Labda tuanzie hapo!
 
wazee wa chato walishastuka kitambo
 
Mbona mnamtukuza tu Makondonda, uyu ni mwepesi katika siasa za nchi hii , hana ubavu wa katika uringo wa siasa za nchi hii, huko kanda ya ziwa wala hawezi kuwa na impact yoyote, mnacheza na siasa nyie ,
 
Mbona mnamtukuza tu Makondonda, uyu ni mwepesi katika siasa za nchi hii , hana ubavu wa katika uringo wa siasa za nchi hii, huko kanda ya ziwa wala hawezi kuwa na impact yoyote, mnacheza na siasa nyie ,
Walete ilepicha analia madhabauni naile anasota Kwa mashehe wakimwombea Dua

Ila Siasa za CCM aibu tupu
 
100%
 
Na mtasema sana, maana hamkosi visingizio

Cha msingi kazi iendelee, piga kazi Mwenezi
 
Du.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…