Ni kweli Makonda anatumiwa kuwapoza wasukuma ili kupunguza makali ya 2025?

Makonda anapaswa kuwa makini sana, kuna watu wengi ndani ya CCM wanaomchukia na wenye kisasi nae hivyo anapaswa kuwa makini sana, kimsingi uteuzi wake ameletwa atumike kama dekio tu wakati huu wa CCM legelege yenye matobo pia, ndani ya ukanda, uzenji na ubara, udini, umagufuli na usamia.

Makonda amepagawa ni mtu alokuwa amekata tamaa, ameenda kuhiji kwenye kaburi la Magufuli analia kindezi ndezi, kaenda kumzika sijui dagaa gani wa CCM analia style ya kubweka bweka hadi kuna Mzee alokuwa nyuma yake akawa anashangaa anatamani amchane vibao.

Makonda aende kwa steps amekuja na kiki za kishamba na za kitoto kujifanya yupo kundi la wanyonge.

Awe makini ajue yeye ni dekio la muda tu
 
Mods wa JF wengi sasa hivi ni machawa wa watu, emotionally they are like women sijui wanawaza nini, hopefully ni very young na wana deficiency ya content and language use exposure,
 
Naona makonda anatema cheche Kama za magu, kaja na Moto Kama alivyopewa mkoa wa dar.
 
Kanda ya ziwa siyo wasukuma tu. Mkabila mkubwa wewe
 
Haya unayo andika hapa wewe usidhani ni mtu wa kwanza kuyatambua, na wala siyo jambo la kipekee ulilo liibua wewe hapa.
Hoja husika hapa ni hilo lengo la uteuzi wa kijinga kwa sababu za kipuuzi zinazolenga kuhadaa hao wanaoitwa wasukuma.
Hivi wewe unaishi kwenye pango lipi, hata hujawahi kusikia uwepo wa genge lililopachikwa jina la "Sukuma Gang"!

Unajaribu kubadili mjadala hapa kwa ujinga kama huo ulio weka wewe hapa?
 
Kwa ujumla, wewe unayo mawazo duni sana.
Hujui kuwa wapinzani (CHADEMA) wameteka kwa miaka kadhaa maeneo mengi ya Kanda hiyo, pamoja na uwepo wa matumizi ya nguvu wanayo fanya CCM? Hujui Ukerewe ni ngome ya CHADEMA kwa miaka kadhaa? Hapo Mwanza mjini hujui CHADEMA wanao mtaji mkubwa? Maeneo yote ya kanda hiyo ya ziwa kama siyo matumizi ya nguvu CCM hawawezi kushinda.
Halafu leo unakuja hapa na kudai CCM wana "nguzo" huko! Nguzo gani unaizungumzia wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…