Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hivi Mbowe ndio Mpiga kura katika Kanda zote !.Huyu Mbowe hana tofauti na Jini maana kila mahali yupo.Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) Tundu Lissu kuifanya CHADEMA iwe na mrengo wa siasa kali.
Wajumbe hao Godbless Lema, John Heche, Peter Msigwa, na Ezekia Wenje inaonekana Mbowe HAWATAKI.
Kuna sehemu nimeandika kuhusu uchaguzi!!??Hivi Mbowe ndio Mpiga kura katika Kanda zote !.huyu Mbowe hana tofauti na Jini maana kila mahali yupo.
Heshima ya JF haitegemei ninachoandika.unajua heshima yako JF ni kubwa, sasa unaanza kuiharibu..................................achana na ujinga wa uchawa.
Sasa hawataki kupitia njia ipi? sisi sio mazuzu kijana.Kuna sehemu nimeandika kuhusu uchaguzi!!??
Kamuulize Kigogo majibu aliyopata kutoka kwa Lissu aliposhauri CHADEMA kutumia nguvu. Kigogo hakuwahi kurudia tena na ndiyo ukawa mwisho wa umaarufu wake.Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) Tundu Lissu kuifanya CHADEMA iwe na mrengo wa siasa kali.
Wajumbe hao Godbless Lema, John Heche, Peter Msigwa, na Ezekia Wenje inaonekana Mbowe HAWATAKI.
Hoja yako haitaeleweka mpaka uandike neno "mazuzu" ??Sasa hawataki kupitia njia ipi? sisi sio mazuzu kijana.
Nguvu maana yake nini!??Kamuulize Kigogo majibu aliyopata kutoka kwa Lissu aliposhauri CHADEMA kutumia nguvu. Kigogo hakuwahi kurudia tena na ndiyo ukawa mwisho wa umaarufu wake.
Hujajibu swali kijans shule ulipata tabu sanaa,Hawataki kwa njia ipi?Au ndio inasemekanaHoja yako haitaeleweka mpaka uandike neno "mazuzu" ??
Mbowe hawataki hao watu na inasemekana anafanya jitihada na uwezeshaji wa kufanikisha adhima yake hiyo.
Uchaguzi ni zaidi ya kupiga kura.
Mbowe HAWATAKI wajumbe hao.
Wewe kuelewa si lazima.Hujajibu swali kijans shule ulipata tabu sanaa,Hawataki kwa njia ipi?Au ndio inasemekana
Chawa kakosa hoja,sawaWewe kuelewa si lazima.
Tuna mengi sana nchini ya kujadili sio personality na ugomvi was watu!
Kwamfano!
"Wakati wanajeshi wakilinda mipaka ya nchi yetu,wanasiasa walipaswa kulinda rasilimali za nchi yetu,je ulinzi wa rasilimali zetu unaridhisha!!!?
Wewe ni wakili linda heshima yako njoo na vitu tangibleKuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA.