Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #21
Uteuzi wa kitu Gani??Chawa kakosa hoja,sawa
Utachelewa sana uteuzi chawa kisa huna hoja
Unataka kuonesha kwenye siasa kumzuia mtu ni kupiga kura tu.
Tunaposema CCM inaiba kura huwa inaibaje kura. Si huwa tunasema Magufuli alivuruga uchaguzi. Kwa ivo Magufuli alikuwa kwenye kila kwenye kila kituo cha kupiga kura!!??