Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.
Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.
Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.
Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.