Ni kweli Mbowe kachoka, lakini Lissu sio mtu sahihi wa kumwachia chama

For sure, Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama, radicalist, vocal, emotional..yataje yote! Mbowe amekosea sana kutoandaa succession plan.
 
Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.

Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.

Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.

Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Unataka kusema Yale maamuzi ya chama ya kuwataka watanzania kumchagua LISSU kuwa Rais mwaka 2020 yalikuwa ya kukulupuka?.
 
Heche alitangaza nia mapema sasa yupo hoi anaumwa mda wote, mbinu ya Lisu kutangaza ghafra kwa kumshitukiza Mbowe ndiyo imemchanganya kwani kakosa mda wa kumhujumu Lisu ingawa sasa kagawa pesa nyingi kwa mdee na wenzake ili wamdhoofishe lisu pia wachakachue uchaguzi
 
Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.

Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.

Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.

Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
LISU ndo anafaa kabisa nanikwa wakati sahihi
 
For sure, Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama, radicalist, vocal, emotional..yataje yote! Mbowe amekosea sana kutoandaa succession plan.
Mbowe haongozi chama peke yake ana kamati zake na hata Lisu hataongoza peke yake atakuwa na kamati zake pia tena lisu atafanya chama kikue kwa pesa itasambazwa kote Nchini tofauti na mbowe ambaye hula pesa za chama peke yake kifisadi
 
kwahiyo lissu ni nyampara eeh...?????
 
Hebu toa sababu moja yakueleweka iliyokufanya uone Lissu hafai hizi siku mbili!?Sababu yenye kashiko.
Alipoanza kutoa siri za chama nikaona hafai
Anazunguka mitandaoni kuwalaumu viongozi wenzake wakati yeye ni sehemu ya uongozi, na mwisho,
Nimempuuza alipoanza kulumbana hadharani na bosi wake huo ni utovu wa nidhamu.
 
Lissu alipokaimu UENYEKITI wa chama wakati Mbowe yuko Jela alifanikiwa kumpeleka puta Samia mpaka Samia akapoteza umaarufu vibaya mno kwenye siasa za Tanzania. Mbowe alipotoka akamsaidia Samia kutawala kiulaini. Lissu ndiye anayefaa kuiongoza CHADEMA ktk changamoto nzito zilizo mbele yake.
 
Pesa za Abduli haiwezi kuwa ni siri za chama. Ni siri za mafisadi wanaojificha ktk kivuli cha chama
 
For sure, Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama, radicalist, vocal, emotional..yataje yote! Mbowe amekosea sana kutoandaa succession plan.
Hilo ndilo kosa lake 20+ years hujui nani atakurithi.
 
Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+lissu nj akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.

Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.

Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.

Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Lissu ni mtu sahihi kwa wakati huu sahihi
 
TUANZIE HAPA ,Siri kama ipi mkuu aliyotoa?
Alipoanza kutoa siri za chama nikaona hafai
Anazunguka mitandaoni kuwalaumu viongozi wenzake wakati yeye ni sehemu ya uongozi, na mwisho,
Nimempuuza alipoanza kulumbana hadharani na bosi wake huo ni utovu wa nidhamu.
 
LISU ndo anafaa kabisa nanikwa wakati sahihi
Lisu atapanga mpangilio mzuri kutakuwa na mhasibu wa chama na katibu mkuu atakuwa na mamlaka kwenye pesa za chama tofauti na mbowe pesa zote zipo kwenye himaya yake hata katibu mkuu hajui bank kuna tshs ngapi, anaendesha chadema kama Duka lake, utawala wa mbowe ni wa kienyeji sana ni mtu mchoyo ubinafsi mwingi na ubabe mkubwa
 
Lissu alipokaimu UENYEKITI wa chama wakati Mbowe yuko Jela alifanikiwa kumpeleka puta Samia mpaka Samia akapoteza umaarufu vibaya mno kwenye siasa za Tanzania. Mbowe alipotoka akamsaidia Samia kutawala kiulaini. Lissu ndiye anayefaa kuiongoza CHADEMA ktk changamoto nzito zilizo mbele yake.
Wakati Mbowe yupo mahabusu Lissu alikuwa kwenye matibabu Belgium.
 
Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.

Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.

Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.

Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Kama Lissu aliaminika kugombea urais wa nchi atashindwaje kuongoza chama!? Tena alimshinda mgonjwa wa ccm ktk uchaguzi ule! Sema tu walimuibia kura.
 
Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.

Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.

Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.

Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Kama kisu afai awaachie vijana waongoze chama.. anatakiwa ajue kuendelea kung'ang'ania kubaki madarakani siku ikitokea hayupo tena duniani hicho chama chao kitakua ndiyo mwisho wake. Kama hataki kumuachia kisu lazima aachie chama kwa vijana na siyo vinginevyo

Nb: Quinine jifunze kuwa na msimamo chanya acha kuyumbishwa kama kinyonga anavyobadilika badilika rangi
 
Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.

Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.

Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.

Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
nadhani siasa za Tundu Lisu na aliekua naibu rais wa Kenya Rigathi Gachagua zinalandana,

wana midomo ya kubweka bweka lakini hawana watu pia hawana ushawishi miongoni mwa vyama vyao 🐒
 
TUANZIE HAPA ,Siri kama ipi mkuu aliyotoa?
Kuna nyaraka za kamati kuu zilikutwa kwa Msigwa ikasemekana kapewa na rafiki yake, Lissu mwenyewe akakiri ni kweli Msigwa ni rafiki yake.
 
Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.

Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.

Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.

Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Toa jina la mtu sahihi sasa! Nani mbadala??

Wewe sio mtu sahihi kutoa maoni haya
 
Back
Top Bottom