Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu kubali kuchutama, ushavuliwa nguo kisomi.Hata Samia mwanzo tulizani ni tofauti na mwendazake lkn alipoanza kutoa makucha tukajua rangi zake, same na Lissu kabla ya kugeuka tulidhani ni mtu sahihi.
Micomment yako tena ya siku za baribuni ndiyo yaliyokuacha uchi.
Kwa points hizo diyo maana watu wanaona kama umehongwa na team Mbowe.
Kwani kuendelea kujitetea unataka ushindi na ukishinda utapata nini?