Ni kweli Mbowe kachoka, lakini Lissu sio mtu sahihi wa kumwachia chama

Kama kisu afai awaachie vijana waongoze chama.. anatakiwa ajue kuendelea kung'ang'ania kubaki madarakani siku ikitokea hayupo tena duniani hicho chama chao kitakua ndiyo mwisho wake. Kama hataki kumuachia kisu lazima aachie chama kwa vijana na siyo vinginevyo
Tunakiri kosa la Mbowe ni kutoandaa mrithi wake, lkn yupo sahihi kutomwachia Lissu atakiua.
 
Siku moja kwenye siasa ni sawa na mwaka mzima, kwa hiyo minyumbuliko inaruhusiwa kila dakika
Watanzania sisi ni wanafiki na hatuaminiki, watu kama TAL ndomana tunawaoma wa ajabu kwa maana hatujazoea kusema ukweli waziwazi...nadhani siasa za kijamaa zimetufanya tuwe hivi sisi ni waongeaje sana pembeni na sio waziwazi hii ndio tamaduni yetu.
 
Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.

Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.

Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.

Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
MBOWE ni Mwenyekiti wa maisha
 
Tunakiri kosa la Mbowe ni kutoandaa mrithi wake, lkn yupo sahihi kutomwachia Lissu atakiua.
Huyo mchaga ampe mwezake ili amsaidie kuandaa huyo mrithi maana miaka 20+ alikua akifanya nini. ? Lazima mchaga kwa maslai ya wengi ampe chama kisu tofauti na hapo awape vijana wakiongoze
 
Team Mbowe mnaweweseka kweli kweli.....
Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.

Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.

Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.

Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
KACHOKA VIPI?
 
WAPO...KWANI MBONA SAMIA NI RAIS? HATA WEWE UNAWEZA KUWA RAIS KWA VINCHI VYETU VYA KIAFRIKA.............ANYBODY CAN BE A PRESIDNT
Tukiachana na kuwa Mkiti wa chama kitu ambacho hawezi, Lissu anaweza kugombea urais lkn sio kuwa Rais, sijui kama naeleweka.

Samia is a guided missile sawa na Lissu.
 
Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.

Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.

Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.

Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Hold on!!

Hii ni kauli imejirudia kwa mtu mwingine ama ni kauli ile ile kwa mtu Yule yule?

Kwamba sifa zile zile alizokua nazo Rais aliyepoteza maisha 2021 ndizo sifa za aliyekuwa mpinzani wake mkuu uchaguzi wa 2020?!

No wonder mnasema ulikua uchafuzi, CHADEMA is truly in a Dilemma!
 
😂 😂 😂 Chadema ni genge la wahuni.

Kumbe kuna watu humu nilikuwa nahisi wako smart kumbe takataka kabisa
 
Wakati huo nilikuwa sijamjua vizuri nimebadili mawazo baada ya kuanza kulopoka hovyo hovyo.
Mtu ambae Chama kilimpitisha kuwa mgombea wa Urais wa nchi 2020 hukumjua vizuri?

Mnajimaliza sana mnapoongea, kazi mnayo kupangua tofali za maneno yenu kwenye bongo za watanzania waliowaamini!

Ila ukiniuliza Mimi nitakwambia all I am witnessing hapa ni De Javü ya “Kugeuza Gia Angani 2015”.

Leo Tundu A. Lissu amekua ni Mpiga kelele, Nyampara, Mchunga Ng’ombe?!

Seems 2025 will be very interesting…
 
Alikuwa ameficha makucha hata hivyo kwani lazima kui ng'ang'ania maiti inayoenda kuzikwa?
 
Tunawajua kazi zenu za kusambaza mizoga.

Lakini mkithubutu kwa huyu mbona mtakua mmefungua Pandora’s box, hata kama litafunguka kimya kimya, ila lazima liache alama. Ya Kudumu.

Mtajiponza.
 
Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.

Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.

Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.

Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Anachomhofia lissu mbowe ni uadilifu wake na kutopenda Kona Kona, mbowe ni mjanjamjanja
 
Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.

Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.

Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.

Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Kitendo Cha kushindwa kuandaa mrithi miaka 20 ni ishara ya uwezo mdogo wa kiuongozi
 
John Heche angefaasana kuwaongoza Chadema.
Nimtu makini na mwenye msimamo.

Lisu ni mkurupikaji, Mbowe anautulivu na busara lakini hanaujasiri na nimzee wa fursa binafsi.

Chadema wafanye maamuzi ya kumpanafasi John Heche watakiponya chama na nchi pia.
 
Tunawajua kazi zenu za kusambaza mizoga.

Lakini mkithubutu kwa huyu mbona mtakua mmefungua Pandora’s box, hata kama litafunguka kimya kimya, ila lazima liache alama. Ya Kudumu.

Mtajiponza.
Wishful thinking
 
John Heche angefaasana kuwaongoza Chadema.
Nimtu makini na mwenye msimamo.

Lisu ni mkurupikaji, Mbowe anautulivu na busara lakini hanaujasiri na nimzee wa fursa binafsi.

Chadema wafanye maamuzi ya kumpanafasi John Heche watakiponya chama na nchi pia.
Hata mimi nilizan wanam groom Heche nikaja kusikia kaungana na ni mropokaji
 
Back
Top Bottom