Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa ya sisi watanzania ni wanafiki usipate tabu ukiona mambo kama haya maana tunasoma upepoTukisema baadhi ya Watanzania ni Machizi tunamaanisha hawa
View attachment 3183896
View attachment 3183897
Bas hauko sawa kichwani, Mgombea unamjua ndani ya siku mbili?Nikiri tu kuwa nilikuwa sijamjua vizuri hadi alipoanza kuwashambulia viongozi wenzake akiwepo boss wake nikajua hamna kitu hapo.
Hata Samia mwanzo tulizani ni tofauti na mwendazake lkn alipoanza kutoa makucha tukajua rangi zake, same na Lissu kabla ya kugeuka tulidhani ni mtu sahihi.
Wewe mienendo ya Lissu umeijua ndani ya siku mbili sio?Hata Samia mwanzo tulizani ni tofauti na mwendazake lkn alipoanza kutoa makucha tukajua rangi zake, same na Lissu kabla ya kugeuka tulidhani ni mtu sahihi.
Mwanasiasa anayeogopa kushambuliwa hajakomaaNikiri tu kuwa nilikuwa sijamjua vizuri hadi alipoanza kuwashambulia viongozi wenzake akiwepo boss wake nikajua hamna kitu hapo.
Wenje katumia fursa hii kujipatia pesa nyingi sana ni mda wenje aliusubiria kwa hamu kubwa ili apige pesa
Lissu mwenyewe mwanzo alikuwa agombee umakamu ndani ya wiki akasema atagombea uenyekiti.Bas hauko sawa kichwani, Mgombea unamjua ndani ya siku mbili?
Sisi Lissu tunamchagua kwa misimamo yake na mienendi yake tangu enzi za Jakaya Kikwete,
Wewe unamjua ndani ya siku mbili
Unatofaut gani na wale wanaohogwa chumvi ndani ya siku moja wakachagua mtu
Ni kama Lissu alivyobadili gia angani na kugombea uenyekiti. Mimi ni nani ning'ang'anie maiti nizikwe nayo.Wewe mienendo ya Lissu umeijua ndani ya siku mbili sio?
Duh siamini na wewe umekuwa msigwa.Mnaweweseka tu.
Hebu toa sababu moja yakueleweka iliyokufanya uone Lissu hafai hizi siku mbili!?Sababu yenye kashiko.Hata Samia mwanzo tulizani ni tofauti na mwendazake lkn alipoanza kutoa makucha tukajua rangi zake, same na Lissu kabla ya kugeuka tulidhani ni mtu sahihi.
Walikubaliana na mbowe kuwa kila mmoja agombee alipo sasa, lakini mbowe akaanza kumfanyia figisu figisu akamwekea wahuni wengi upande wa makamu mwenyekiti huku mtia nia ya Uenyekiti yaani heche akihujumiwa kama Zito, Kwa Hasira Lisu akaona Mbowe anawachezea anawafanya kuwa ni watoto wadogo ndipo kutangaza ghafra kuwa anagombea uenyekiti, alimshitukiza Mbowe, na endapo Mbowe asingefanya aliyofanya mda huu lisu angekuwa yupo kule kule kwa awaliLissu mwenyewe mwanzo alikuwa agombee umakamu ndani ya wiki akasema atagombea uenyekiti.
Siku moja kwenye siasa ni sawa na mwaka mzima, kwa hiyo minyumbuliko inaruhusiwa kila dakikaSifa ya sisi watanzania ni wanafiki usipate tabu ukiona mambo kama haya maana tunasoma upepo
Hahaa Lissu atashinda lkn ataporwa ushindi umetumia utafiti upi au ule wa mitandaoni.Wajumbe wapo moyoni kwa lisu lakini machoni wapo kwa mbowe ili watafune pesa yake anayogawa sasa kupitia chawa wake akina Mdee, wenje Boniface na wenzao, Lisu atashinda kwa kura nyingi lakini watapora ushindi wake na kumpa mbowe ushindi haramu
Kwanini kuwe na watu wawili tu waliochukua form? Wengine hawajiamini? Kama chama tu wanashindwa kichukua form hao watu wanafaa hata kuwa mawaziri kweli?Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.
Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.
Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.
Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Mbowe hayupo tayari kumuachia mtu hicho chamaTuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.
Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.
Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kiranja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.
Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.