Ni wazi Lissu si mwanachadema kiakili na kisaikoloji, kisheria ni mwanachama
Nje ya chadema hawezi kufanya siasa ambazo lissu anafanya.
Sababu kubwa 4.
1. Hakuna chama ambacho lissu ataenda kujiunga kusiwe na migogoro
2. ACT wazalendo ambaocho kidogo kina nguvu kwa upande wa Zanzibar ni siasa tofauti na za lissu. Lissu hushambulia lkn act wao wanatumia akili zaidi kuliko kushambulia
3. Lissu na team yake watataka madaraka ya juu ya uongozi kwa muda mchache jambo ni gumu.
4. CCM watambana kila atapopita katiks vyama kwa sababu ni looser yaani atakuwa kashatoka chama imara yupo chama legelege.
Hatma yake kisiasa ndio huu.