Team Mbowe mnaweweseka kweli kweli.....Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.
Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.
Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kilanja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.
Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Mnamtetea Mbowe kwa kila namna. Zama za siasia za kulamba asali zitafika mwisho kofia akipewa Lissu. Atakinyoosha Chama kama Magufuli alivyowanyoosha CCM.🤣Tuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.
Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.
Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kilanja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.
Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Wachaga/wamachame wamepagawaTeam Mbowe mnaweweseka kweli kweli.....
Mpiga kelele ni yule asiyeeleweka, kama anaeleweka huyo kamwe si mpiga keleleTuseme ukweli Mbowe kachoka miaka 20+ akiwa Mwenyekiti si mchezo ni moja ya mwanasiasa mahiri kuwahi kuongoza chama cha upinzani Tanzania ukimtoa Maalim Self.
Mbowe anamjua Lissu in and out anaijua nguvu (strength) na madhaifu (weaknesses) zake, ndio sababu ya Mbowe kutomwachia Lissu uongozi wa chama.
Lissu ni mpiga kelele mzuri tu lkn hana leadership skills, namfananisha Lissu na kilanja mkuu wa shule au nyapara wa magereza wanaochaguliwa kutokana na kelele zao.
Namshauri Mbowe baada ya kushinda tena January aanze kumwandaa mrithi wake, akishampata ashauriane na chama ajiuzulu asisubiri hadi miaka 5 iishe.
Hapo alikuwa hajahongwa Pipa la mbege na wachaga wenzake 😄Tukisema baadhi ya Watanzania ni Machizi tunamaanisha hawa
View attachment 3183896
View attachment 3183897
Wakati huo nilikuwa sijamjua vizuri nimebadili mawazo baada ya kuanza kulopoka hovyo hovyo.Tukisema baadhi ya Watanzania ni Machizi tunamaanisha hawa
View attachment 3183896
View attachment 3183897
Unayumba sana Mzee kaa kwa kutulia halafu wewe ni NdumilakuwiliWakati hu nilikuwa sijamjua vizuri nimebadili mawazo baada ya kuanza kulopoka hovyo hovyo.
Ingia na marangi yako ya majani .One mistake one goal mbowe akishinda tu Chademu imezikwa mazima
View attachment 3183888
Ni machizi hasa. Na ukikuta yale yanapenda kila wakati ku post post mitadaoni, unakuwa unawapima vizuri uchizibwao, hauhitaji hata wataalumu wa mmagonjwa ya akili.Tukisema baadhi ya Watanzania ni Machizi tunamaanisha hawa
View attachment 3183896
View attachment 3183897
Nikiri tu kuwa nilikuwa sijamjua vizuri hadi alipoanza kuwashambulia viongozi wenzake akiwepo boss wake nikajua hamna kitu hapo.Hapo alikuwa hajahongwa Pipa la mbege na wachaga wenzake 😄