Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

Hebu eleza kwa undanii zaidi, mnatuchangqnyaa waja wallah.
HUjaelewa upande upi cocastic?
Kiukweli Wengi huwa wnahisi Ni kama utani au Tunavutia watu..

Ila kiukwel mimi nimefanya kazi CTC kwa muda Mrefu sana couple nyingi sana tumeziona zikiwa hivyo na ziliishi kwa muda mrefu hivyo..

Pia wengi tu Huwa wanaendelea kuishi hivyo na tunawapima mara kwa mara kwa Index Testing..
Na hata Study za Index Testing Tanzania pia zipo unaweza ukazitafuta utakuta watu wenye wenza wenye maambukizi wapo wengi tu ila wenyewe hawana maambukizi
 
Wale wanaopenda Minato na K kavu,wawe makini.Wengine tunatakaga wenye maji
 
Hapana U=U
ni kiasi cha Virusi kuwa chini sana kwenye Damu tunaita TND..
Hiyo Haifanyi Virusi visionekane kwenye Antibodies Test au Visiwepo mwilini..
Bado ataendelea Kuwa na HIV ila uwezo wa kusambaza Virusi huwa ni mdogo sana..

Kwanini mnaogopa watu ambao tayari wapo kwenye dawa?

Me ningeshauri watu waogope zaidi mtu yule ambaye Kipimo kinasoma Negative..

kwanini?
Mtu anapokuwa kwenye Window Period Virusi huzaliana sana na ndo kipindi ambacho Muathirika anakuwa na Peak kubwa ya Virusi kuliko wakati wowote ule maana kipindi hicho bado antibodies hazijaanza kufanya kazi ya kupambana na Virus...
Hakuna kipind Muathirika huwa Contagious Wa HIV kama kipindi cha window Period..
Watu inabidi wajue kwamba kipimo hakipimi virusi kinapima reaction ya kinga ya mwili kwa kirusi so hata dawa ikipatikana +ve wataendelea kuwa +ve
 
Kwamba huyo dada akipima ngoma majibu yanakuja hana ngoma au?
Sumu haijaribiwi kwa kuilamba.
 
Hapo hata mimi hunipati..

Ila nimeshaona baadhi ya watu wanaishi hivi na clinic za ctc wanakuja pamoja..mmoja anapewa Arv zake mwingine anapewa Prep(dawa ya kujilinda)..
Kuweza Prep kila siku hii mbona hatari kubwa kwanza mavidonge makubwa kama njugu na yanaharufu kali sana hata kuyasogelea tu Dah.
 

Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na walisema hawatumii condom.

Najiuliza ina maana DECEPTION alisema kweli kipindi kile au wanahamasisha watu wasiogope UKIMWI?

Je, kuna watu hawaambukizwi HIV?

Ni kweli mtu akitumia vizuri dawa ARV haambukizi wengine?

Je, UKIMWI ni fix tu?
Kanuni ya ukimwi ni hii hapa kitabibu

Undetectable = Untrunsmitted

vidonge vya kupunguza makali ya ukimwi huwa yanafanya virusi visiongezeke kwa kasi hivyo kuvizuia vibaki vichache ndani ya seli hai yaani "copies per cell" na idadi ya virusi vinavyohitajika ndani seli ili mtu asiweze kuambukiza ni chini ya 200 kwa kila seli.

Kiwango hicho ndicho wataalamu huita undetectable na kama ni undetectable hii inamaanisha haviwezi kuambukiza.

Ndiyo maana unaweza kuoa au kuolewa na muathirika ambaye anajijali na akiwa anazingatia dozi ,vyakula na maelezo ya daktari kwa usahihi hauwezi pata hadi mnazeeka.
 
Back
Top Bottom