Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

Somo limeeleweka vema
 
inaweza kuwa kweli pia ni vile tu bado hatuna facts
 
Hiyo inahuiana sana na genetics
Na mambo ya damu kiujumla
 
Haya ndio mambo hupenda kusoma
 
Mimi kidogo nipo tofauti, siamini kama kuna magonjwa ya kuambukiza.

Kuna siku watakuja kuafiki hili, ndio maana kuna kuja stori nyingi mara Kuna watu hawaambukizwi mara hivi mara vile.

Kama kweli Kuna magonjwa ya kuambukizwa, yule wa kwanza kabisa kuumwa alipata wapi huo ugonjwa ?

Akili inahitajika kufikiri juu ya mambo haya.
 
Mwamba wa chini akiamua lake hakuna unachoweza kufanya kubadili mawazo yake.
Akili inarudi ukifika mshindo sasa😂
 
Swal zur hawez akaambukiza mtu kama anatumia dawa kwa usahihi
 
Mkuu,

Huu ugonjwa una hatua zake ambazo ni Hatua 1,2,3 & 4. Utakuwa salama tu kwa kutumia dawa vizuri. Na wagonjwa wengi ni wanawake. Kumbuka kinachoshambuliwa ni kinga.
 
Hapana anaweza kuambukiza.

Ila Kama anameza dawa vizuri na kiwango cha virusi kwake kiko.chini Sana ( viral load) anapunguza hatari ya kuambukiza Sana, ila siyo kwamba haiwezekani.

Pili, asione mwenzake aneza dawa na anaishi vizuri, wewe unaweza kupata maambukizi ya VVU halafu ukapata magonjwa nyemelezi mabaya kuliko yeye halafu ukateseka.
 
Nyege mbaya sana.
 
Huo ndio ukweli,naamini kila mmoja wetu alishagonga demu victim ila kwavile wanatumia dozi hakuna maambukizimakubwa,mara ngapi umeuza mechi ila uko safe now,jibu ni matumizi fasaha ya ARV kwa unowagonga
Hiki ndicho ninachokiamini pia na nadhani mtu akipimwa akakutwa ana HIV anapaswa awe mwungwana kwa kuhakikisha anawalinda wengine wote dhidi ya maambukizi maana
 
Mkuu ni kama unataka kusema HIV unaiogopa sana as if ndiyo inaua sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…