Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

Kwa Muongozo upi?
Muongozo halali wa Upimaji Ni kweli utapima at Start then baada ya mwezi mmoja then baada ya miezi mitatu au Mwaka inategemea kama hauko kwenye Hali hatarishi ya kuweza ku be exposed kwenye Maambukizi..

Upimaji wa aina yoyote Unategemea na hali ya client anayeenda kupima na hali ya Kuwa exposed na Maambukizi..

Kwa mfano Unaweza ukaja wewe mama wa nyumbani ukapima kulingana na Miongozo nikakuambia rudi baada ya mwezi kupima na baada ya mwezi nikakumbia utarudi baada ya miezi mitatu..

Hali itakuwa tofauti na yule sex Workers (Anayejiuza) au Anayeishi na Mtu mwenye maambulizi ambaye yeye nitamwambia Arudie kupima kila mwezi kutokana na exposed Status yake..
Hapo sijui umenielewa..

Upimaji wa HIV una algorism yake na mipaka yake sidhani kama kupima kila Mwezi kwa mtu ambaye hayuko Exposed inaruhisiwa..
 
hii ya mke na mume imekaaje sasa ?

wanaishi pamoja hlf hakuna anayemwamini mwenzake?

sasa watakuwa wanapima mara kwa mara au?

ghafla bn vuuu unamwinua mamsapu twende kucheki ngoma!??[emoji848][emoji848]
 
hii ya mke na mume imekaaje sasa ?

kama wanaishi pamoja hlf hakuna anayemwamini mwenzake?

watakuwa wanapima mara kwa mara au?

ghafla bn vuuu unamwinua mamsapu twende kucheki ngoma!??[emoji848][emoji848]
Kwni tangu mlipoona weww na mkeo Hamjawahi kwenda tena kupima/hamna desturi ya kupima😳😳🥺🥺🥺..

HIV inaambukizwa kwa njia nyingi sio lazma njia ya ngono..

Haina maana ya kulima mara kwa mara ila desturi ya kupima hata kila baada ya Miezi sita au kila baada ya mwaka..

Kingine Kuishi Pamoja sio.Kigezo.cha Kuaminiana..

Na precaution sio kwenye kufanya Ngono tu..
Kumkinga na Tabia Hatarishi ambazo unajua zinaweza kupelekea mkapata maambukizi..
 
Kiukweli Kuna watu wenye roho ngumu na upendo wa ajabu. Nimeona kisa kimoja kutokea Mbagala. Kuna couple ambayo wakati wakifunga ndoa wote walikuwa negative, then later ikabainika mama kachepuka na kapata UKIMWI.

Yule baba hakumuacha mkewe, mpaka leo wapo wakija kuchukua na kupima wanakuja wote, nimewaona kwa macho yangu na kuwahudumia kwa mikono yangu. Huu mwaka wa 19 bado baba ni negative na tumemfundisha tu namna ya kupractice sexual isiyoleta michubuko.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Yupo ninae mfahamu wana watoto wawili huko Busokelo Mbeya na mwanamke hajapata maambukizi
 
Mtu wa hivyo, kwa vile vipimo vyetu ambavyo watu wengi tunajipima akipima itasoma positive au negative
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…