Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na walisema hawatumii condom.
Najiuliza ina maana DECEPTION alisema kweli kipindi kile au wanahamasisha watu wasiogope UKIMWI?
Je, kuna watu hawaambukizwi HIV?
Ni kweli mtu akitumia vizuri dawa ARV haambukizi wengine?
Je, UKIMWI ni fix tu?
Mkuu usije ukaamini mambo ya mitandaoni hata siku moja,
Ni kweli kwamba mtu anayetumia ARV kwa ufasaha anapunguza uwezekano wa kumwambukiza mwingiine,
Mimi nilishawahi kuwa na wanawake wawili tofauti baadae nikagunduwa wanatumia ARV nikaachana nao.,
Nipo negative hadi sasa na nimepimwa ulaya,,UAE,saudi Arabia,,
hata mke wngu alipokuwa mjamziito tumepima wote tupo negative ,,
sina kiluwiluwi chochote mwilini mwangu,,
Alhamdulillah.
Hakuna ujasiri wa kuwa na mwenza wako mgonjwa halafu ukaendelea kushiriki nae tendo bila mpira,,
.huo ujasiri wanaume 💯 hatuna.,
Mwanaume akishqjuwa mwanamke ni muathirika automatically hawezi kufanya mahusiano tena..
Hao ni waongo ,,ukwl wanaujuwa wao wenyewe chumbani..
Either wote wanaumwa au wote wazima wanafanya drama..