Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

Hivi dokta nafsi yako haikusuti unapowapa watu yale madonge ya ARV wakayabugie?

Kuna watu mna mioyo migumu sana. Mimi ningeacha udokta nikalime, maana ningekuwa naota ndoto mbaya za kukimbizwa na watu.
Watu wakipona kwangu mimi ndo furaha yangu Bichwa
 
Wakiboresha Afya zao na System ya Immune ikiimarika mara Dufu
Yale ma-ARV huwa yanazuia uzalishaji wa kinga kwenye BONE MARROW.

It is actually the opposite of whacha ya' saying.

Full toxins and chemical garbage. Zidovudine specifically.
 
Zidovudine au Kifupi AZT..
Ni kweli kabisa moja ya Side effects zake ni Bone marrow suppresion lakini kwa sasa sidhani kama kuna matumizi makubwa ya Zidovudine..

Kwa sasa matumizi makubwa ni TLD (Tenofovir (TDF) + Lamivudine (3TC) + Dolutegravir(DTG) )

Ambapo miaka Minne au mitano nyuma ilitumika TLE....

nikutoe Hofu tu Ziduvudine kwa sasa ni altenative na 2nd line treatment Ya HIV/AIDS kwa Tanzania
 
Hayo yote ni mabaya sana. Yanaichakaza kinga ya mwili na kujaza tindikali kwenye damu.

Na yanavuruga sana figo mpaka mtu anajifia kama mbuzi.
 
Coca!
Ni kweli na nimeyashuhudia kwa macho na kuyaishi kuyaona..
Mimi sio wa kuyasoma nimehudumia wagonjwa wenye hizo hali kwa muda mrefu na nakuhakikishia Ni kwwli kwa 100%
Jamani inaweza kua kweli, ila mie hapana siamini.
Kuna mdada mtaani, alizaliwa nao alidate na mkaka walivoachana eti mkaka kwenda kupima yuko safe.

Mie ndo siamini kabisaaa, wee
 
Sema kuna Uoga wa Kupata tu,
Na imani iliyopo kuhusu HIV
 
Hayo yote ni mabaya sana. Yanaichakaza kinga ya mwili na kujaza tindikali kwenye damu.

Na yanavuruga sana figo mpaka mtu anajifia kama mbuzi.
Umeandika vema sana.
Sasa nini ushauri wako mbadala wa matumizi wa dawa kwa watu waliomo?
 
Jamani inaweza kua kweli, ila mie hapana siamini.
Kuna mdada mtaani, alizaliwa nao alidate na mkaka walivoachana eti mkaka kwenda kupima yuko safe.

Mie ndo siamini kabisaaa, wee
Huo ugonjwa hauambukizwi kwa ngono.

Chukua hii andika kwa herufi kubwa itakusaidia baadaye.
 
Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na walisema hawatumii condom.

Najiuliza ina maana DECEPTION alisema kweli kipindi kile au wanahamasisha watu wasiogope UKIMWI?

Je, kuna watu hawaambukizwi HIV?

Ni kweli mtu akitumia vizuri dawa ARV haambukizi wengine?

Je, UKIMWI ni fix tu?
UKIJUA UMEVAMIA MSITU MZITO BAADA YA KUHONDOMOLA NDAN YA MASAA 72 PIGA ARV UKO FIT
 
Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na walisema hawatumii condom.

Najiuliza ina maana DECEPTION alisema kweli kipindi kile au wanahamasisha watu wasiogope UKIMWI?

Je, kuna watu hawaambukizwi HIV?

Ni kweli mtu akitumia vizuri dawa ARV haambukizi wengine?

Je, UKIMWI ni fix tu?
Inawezekana kabisa provided huyo mwathilika yuko na viral suppression, zamani ilikuwa ngumu kujua nani ana viral suppression na nani bado ana kopi nyingi ya virus kwenye damu yake mpka ilipokuja kipimo cha Viral load, mteja mwenye majibu ya TNG yaani target not detected maana yake hana free copy ya kirusi kwenye damu maana yake hana cha kuku ambukiza
 
Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na walisema hawatumii condom.

Najiuliza ina maana DECEPTION alisema kweli kipindi kile au wanahamasisha watu wasiogope UKIMWI?

Je, kuna watu hawaambukizwi HIV?

Ni kweli mtu akitumia vizuri dawa ARV haambukizi wengine?

Je, UKIMWI ni fix tu?
Mkuu usije ukaamini mambo ya mitandaoni hata siku moja,

Ni kweli kwamba mtu anayetumia ARV kwa ufasaha anapunguza uwezekano wa kumwambukiza mwingiine,

Mimi nilishawahi kuwa na wanawake wawili tofauti baadae nikagunduwa wanatumia ARV nikaachana nao.,

Nipo negative hadi sasa na nimepimwa ulaya,,UAE,saudi Arabia,,
hata mke wngu alipokuwa mjamziito tumepima wote tupo negative ,,
sina kiluwiluwi chochote mwilini mwangu,,
Alhamdulillah.

Hakuna ujasiri wa kuwa na mwenza wako mgonjwa halafu ukaendelea kushiriki nae tendo bila mpira,,
.huo ujasiri wanaume 💯 hatuna.,

Mwanaume akishqjuwa mwanamke ni muathirika automatically hawezi kufanya mahusiano tena..

Hao ni waongo ,,ukwl wanaujuwa wao wenyewe chumbani..

Either wote wanaumwa au wote wazima wanafanya drama..
 
Sasa we ushaona unavirus why uanze kutafuta mbinu na kufanya mapenzi na ambao hawajaambukizwa, ili iweje?
 
Kuna level ya viral load (idadi ya virusi vya HIV kwenye damu) ikifikia kuwa undetected (kutoonekana kwenye damu) inakuwa huwezi kumuambukiza mwenza wako hata mkijamiiana bila ya kinga.

Ila inataka ujasiri wa hali ya juu. Yani nikijua una ngoma sidhani hata kama mnara utasoma achilia mbali kupiga kavu.

Kama ni kweli jamaa anakula mzigo kavu basi mwamba jasiri hasa.
Haujakutana na pisi za maana wewe. Unakuta demu ni mtamu haujamvua nguo ila tayari unakuwa ushaanza kupata picha ya namna ukimla utapata utamu kiasi gani.

Huyo hata akikuonyesha nyaraka za majibu ya hospitali kuwa yupo Positive hauwezi muelewa na moto unakuwa mkali majuto ni huko baadae ukishamaliza kumla.
 
Sawa. Ila ndio maana nilitumia nafsi ya umoja kuashiria najiongelea mimi kama mimi. Ni mtazamo tu chief, unaweza kutofautiana.

Vipaumbele vyetu kimaisha vinatofautiana hivyo kufanya hata maamuzi na imani zetu katika kufanya mambo kutofautiana.
 
Back
Top Bottom