Ni kweli Mungu hana Upendo? Au sisi tu ndio hatumuelewi!?

natamani nicomment hii mada ila mmh sijaisoma maana ni ndefu sana, atayeweza kufupisha anisaidie maana huu uwezo wa kusoma mada ndefu nahifadhi kwa kusoma bible tu

Unakosa mengi sana ya kukusaidia unapoacha kusoma mambo matam na makubwa na pia ya muhimu kama haya

Tumia muda wako kusoma na hutajuta kamwe kuutumia muda huo na utabarikiwa ....!!
 

The "Alpha and Omega" quote doesn't even exist in the original Bibles!!
Please visit: Arche of the Creation of God as Alpha and Omega. The "Alpha and Omega" doesn't even exist in the original Bible! It's a lie that was later inserted by trinitarians. See the historical proofs in the article. If their site is down, then you can read the article at this link ON MY SITE.
 
Nataka sana kukujibu lakini siwezi kujibu swali kama mlevi ...

Niambie,unataka nikujibu kwa kutumia ushahidi gani?
Huo ushahidi ambao unataka nikujibu unauamini kwamba haudanganyi?

Hahahahahaha, mtu anaposhindwa kutetea imani yake kwa kukosa ushahidi na haiamini kauli yake anaanza kuhaha na kutafuta vijisababu. Weka ushahidi wowote unaouona wewe unakufaa:

Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"?
 
Kutumia akili kumuelewa Mungu Ni Sawa na kusukuma gari Ukiwa ndani yake😄😄😄😄😝😝😝😝😝😝😝
 
Nataka sana kukujibu lakini siwezi kujibu swali kama mlevi ...

Niambie,unataka nikujibu kwa kutumia ushahidi gani?
Huo ushahidi ambao unataka nikujibu unauamini kwamba haudanganyi?

Mbona longa longa zako Nyingi hazina Maana na zinapoteza Muda?

Umeulizwa na Mwalimu Faiza wapi ktk BIBILIA Yesu kasema "MIMI NI MUNGU NIABUDUNI?
AU wapi Aliwaambia watu Kuwa YEYE NI MUNGU MKUU?
AU wapi Alisema yeye ni MIMI MWANA WA MUNGU WA PEKEE?

Mbona Ndugu mgalatia Unajiabisha namna hii?
We sema tu Andiko Hili hapa! Na km Huna sema hakuna hilo andiko tusonge mbele!.

Bla..bla..blaa sitasababisha huu uzi uchafuke sasa hivi.
 

Hapo ktk Mistari yoote hio uliotoa HAKUNA HATA MMOJA yesu aliposema "MIMI NI MUNGU"

ALfa na Omega ALIKUFA siku Tatu?

Inafahamu maana ya Alfa na Omega wewe?
Hilo andiko huoni liko kinyume na Uhalisia?

Ni kweli kuwa katika-Kitabu cha Ufunuo 1, ayah ya 8, sio ya 7 km wewe Eiyer ulivyonukuu inaonyeshwa kuwa Yesu alisema yafuatayo kuhusu yeye mwenyewe: “Mimi ni Alfa na Omega”, asema Bwana, aliyeko, aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu”.

Hizi ni sifa za Mwenyezi Mungu. Hivyo, Yesu, kulingana na Wakristo wa mwanzo, na bibilia hio hapa anadai uungu.-

Hata hivyo, hayo ni mojawapo ya maandiko yaliyo chakachuliwa na ya makosa ya kiuchapishaji katika biblia za King James Version-KJV.-

-Katika-RSV, wanazuoni wa Biblia walisahihisha tafsiri na kuandika: “Mimi ni Alfa na Omega”, asema-Bwana Mungu”.-

-Masahihisho pia yalifanywa kwa-New American Bible-(Biblia Mpya ya Marekani) iliyochapishwa na Katoliki.

Tafsiri ya Ayah hiyo imerekebishwa ili kuiweka katika muktadha wa sawa kama ifuatavyo: “Bwana Mungu anasema: ‘Mimi ni Alfa na Omega, yule aliyeko na aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu’”.-

Kwa masahihisho haya, ni dhahiri kuwa hii ni kauli ya Mwenyezi Mungu wala sio kauli ya Nabii ‘Iisa (YESU).

Nenda kachukue BIBLIA iliochapishwa na VATICAN ukasome Sio hio Michakachuo yenu ya ILEMELA na Mabatini huko MWANZA.
 
Last edited by a moderator:
Kutumia akili kumuelewa Mungu Ni Sawa na kusukuma gari Ukiwa ndani yake😄😄😄😄😝😝😝😝😝😝😝

Sasa ulitaka watu watumie makalio?
Unadhani wote wagalatia humu?
Nyambaff!
 
Unakosa mengi sana ya kukusaidia unapoacha kusoma mambo matam na makubwa na pia ya muhimu kama haya

Tumia muda wako kusoma na hutajuta kamwe kuutumia muda huo na utabarikiwa ....!!

Acha kudanganya watu wewe kuwa Watabarikiwa kwa kusoma utumbo!

Nyie ndio wale mnao wabariki mpaka Wazinzi na waliberali.
Acheni kabisa kupoteza watu.
 
Ishmael hawa hapa Wakristo wenzio wanaoinga dhana ya "Alpha na Omega" kuwepo kwenye biblia za awali na wameweka wazi na ushahidi juu kuwa hicho ni kionjo kilichoongezwa baadae.


Arche of the Creation of God as Alpha and Omega (No. 229)
(Edition 1.0 19971217-19971217)
The arguments of modern Christianity regarding Christ have much of their origins in Greek philosophy and ancient religious practices running contrary to the Bible. Some of the biblical texts in English have been mistranslated to conceal the intent and structure of the application of the terms because they run counter to Trinitarian theology. The application of the terms Arche, Alpha and Omega, first and last, beginning and end, are explained taking into account the various texts.


Christian Churches of God
PO Box 369, WODEN ACT 2606, AUSTRALIA
Email: secretary@ccg.org
(Copyright ã 1997 Wade Cox)
This paper may be freely copied and distributed provided it is copied in total with no alterations or deletions. The publisher’s name and address and the copyright notice must be included. No charge may be levied on recipients of distributed copies. Brief quotations may be embodied in critical articles and reviews without breaching copyright.
This paper is available from the World Wide Web page:
http://www.logon.org and http://www.ccg.org

Arche of the Creation of God as Alpha and Omega
In the various papers on God and the Messiah, we have dealt with the first two aspects of the concepts embodied in the Godhead, namely those of God the Father, and Jesus Christ as the Son of God. The summary obtained from the first section of our Statement of Beliefs is that God the Father is properly the one true God and that Jesus Christ is the Son of God and that this understanding is the prerequisite to eternal life (Jn. 17:3).

Soma zaidi: Alpha and Omega is Interpolation
 
Last edited by a moderator:
unaelelewaje vifungu hivi?

yohana10: 33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.

Luka5:
24 Lakini, mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (alimwambia yule mwenye kupooza). Nakuambia, Ondoka, ujitwike kitanda chako, ukaende zako nyumbani kwako.
Yohana 16:
26 Na siku ile mtaomba kwa jina langu, wala siwaambii ya kwamba mimi nitawaombea kwa Baba;
yohana 16:
24 Hata sasa hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu.
yohana 10:
30 Mimi na Baba tu umoja.
Marko 16:
Basi, akawaambia, "Nendeni ulimwenguni kote mkahubiri Habari Njema kwa kila mtu. 16 Anayeamini na kubatizwa ataokolewa; asiyeamini atahukumiwa.

Mbona muslims hawabatizwi?
 

Kubatizwa ndio kufanywa nini?
Halafu kwa akili ilivyo ndogo wewe na huyo unaemuabudu wote mmebatizwa!

Na hilo andiko lenu mnalichakachua kila siku.

Tazama haya maandiko yanavyogongana.
La kwanza ni hilo hapo juu linalosema " Marko 16: [/FONT][/COLOR]Basi, akawaambia, "Nendeni ulimwenguni kote mkahubiri Habari Njema kwa kila mtu. 16

Na andiko lingine hili hapa ambapo YESU anawatuma Wanafunzi wake 12 Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.Mathayo 10.5-6

Nakuuliza wewe mchaga wa kishumundu! Wewe Muisraeli? Au na wewe utajibu kuwa japo una meno meusi na makalio meusi km Kakende lkn bado una damu ya Kiisraeli au sio!

Teh teh teh teh!
Wagalatia nuksi nyie! Mnfnsssssssss!
 
Last edited by a moderator:
andiko la kwanza hapo juu alilisema alipoimaliza kazi. akienda kwa baba yake mbinguni. Ndipo wowote waliompokea waliweza kufanyika watoto wa mungu , ikiwemo sisi gentiles(mzabibu mwitu)Andiko la pili aliliagiza kabla ya kuikamilisha kazi.Yaani alipokuwa akiwahubiria wana waisrael akiwa na lengo la kuwakusanya pamoja.Akawapalimit ya kule angetaka waende kwanza.
 
Last edited by a moderator:

Hii tafsiri ya wachaga wa kigalatia ni watoto wa mungu umepewa na Dr Slaa au?
 
Marko 16: [/FONT][/COLOR]Basi, akawaambia, "Nendeni ulimwenguni kote mkahubiri Habari Njema kwa kila mtuandiko la kwanza hapo juu alilisema alipoimaliza kazi hapa duniani. akienda kwa baba yake mbinguni. Ndipo wowote waliompokea waliweza kufanyika watoto wa mungu , ikiwemo sisi gentiles(mzabibu mwitu)Andiko la pili aliliagiza kabla ya kuikamilisha kazi.Yaani alipokuwa akiwahubiria wana waisrael akiwa na lengo la kuwakusanya pamoja.Akawapalimit ya kule angetaka waende kwanza.12 Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.Mathayo 10.5-6
 
andiko la kwanza hapo juu alilisema alipoimaliza kazi..

Mkuu maneno mengi ya nini?

?

Hebu naomba nikuulizeni swali moja tu.
Je huyu ndie mnaemuabudu na kumuita Mungu?
Na kama sio basi Semeni kuwa Huyu SIO MUNGU WETU ila MUNGU wetu ni ........... na mimi nitambue mnae muabudu.

 

ukisikia KUISHIWA ndo huku! Hzo MB 8 ungeenda kusoma Magazeti GLOBAL PUB....


Watu kama ww YESU aliwaita ni watu wenye SHINGO NGUMU hamgeuki kulia wala kushoto! Mpo kama KONDOO wenye MAFUA
 
Mimi nilitegemea umeleta aya, kumbe yale yale ya hadith za Muhammad.
 
Ishmael hawa hapa Wakristo wenzio wanaoinga dhana ya "Alpha na Omega" kuwepo kwenye biblia za awali na wameweka wazi na ushahidi juu kuwa hicho ni kionjo kilichoongezwa baadae.
Soma zaidi: Alpha and Omega is Interpolation


The God of Islam has two other names. "AL-AWAL" and "AL-AKHER." In English we say, "I am the Alfa-I am the Omega." (I am the First and I am the Last.) Isaiah 41;4 says, "I, the Lord-with the first of them and with the last-I am He." Also the book of Revelation 22;13 says, "I am the Alpha and the Omega, the First and the Last, the Beginning and the End." Jesus is the AL-AWAL and Jesus is the AL-AKHER. Muslims there are no any option or excuse to refuse this truth. You have to accept Jesus as your "Allah."
 
Hahahahahaha, mtu anaposhindwa kutetea imani yake kwa kukosa ushahidi na haiamini kauli yake anaanza kuhaha na kutafuta vijisababu. Weka ushahidi wowote unaouona wewe unakufaa:

Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"?
Ushahidi wowote ni upi? Nikikuletea maandiko yangu yakisema kwamba Yesu ni Mungu utayakubali?

Je,huo ushahidi utauamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…