Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza Mungu ana uoendo mkuu na ndio maana alikuja na kufa kwasababu ya makosa yako uliyojitakia mwenyewe
Halafu unapokatazwa kufanya jambo na ukaambiwa adhabu yake ni viboko kumi halafu ukafanya huku unajua kabisa adhabu yake,ukitandikwa utakuwa umejitandika mwenyewe au laa?
Mungu anaweza yote au hawezi?Mungu gani kafa?
Sema mungu yesu wa kwenu ndio aliuawa.
Usiseme Mungu with capital "M".
Mungu akishakufa bado atakuwa na sifa Ya kuitwa Mungu?
We vipi unakosa heshima na adabu kwa MUNGU namna hii?
Hio ni kufuru kubwa mno Kumsingizia MUNGU Uongo!
Ovyo sana nyie watu.
Elisha Chuma
Kuna Mungu mmoja tu muweza yote na upande wa pili kuna Shetani,hapa either unamuabudu Mungu au Shetani basi hakuna kingine
Mungu ameweka kanuni ambazo kila mmoja akizifuata atapata matokeo iwe hasi au chanya bila kujali anamjua au hamjui,hivyo unaposema kuna sijui miungu ambayo inakwenda kumuomba huyu mkuu na anafanikisha ni mawazo yako tu!
Kwanza Mungu ana uoendo mkuu na ndio maana alikuja na kufa kwasababu ya makosa yako uliyojitakia mwenyewe
Halafu unapokatazwa kufanya jambo na ukaambiwa adhabu yake ni viboko kumi halafu ukafanya huku unajua kabisa adhabu yake,ukitandikwa utakuwa umejitandika mwenyewe au laa?
Soma nilichoandika kwenye mada ndio ujue ni kwanini hakutaka kusamehe tu hivi hivi,sio kwamba alishindwaTazama unavyodanganya watu hapa.
Unasema Mungu mmoja muweza wa yote, halafu hapo hapo Unasema Huyo huyo muweza wa yote KAJITOA ROHO YAKE ili wewe na Mkuu wa chuo cha machizi mpate kusamehewa.
Sasa km ni muweza ya yote alishindwaje Kuwasamehe tu mpaka AJITOE ROHO YAKE?
Yaani Muweza wa yote alishindwa ti kusema "nimewasamehe madhambi yenu ya kuiba pesa za sadaka?
Mpaka ajiue?
Mungu anaweza yote au hawezi?
Soma nilichoandika kwenye mada ndio ujue ni kwanini hakutaka kusamehe tu hivi hivi,sio kwamba alishindwa
Acha kukurupuka!
Hii mada ni pasua kichwa
Kamwe haitakuja kueleweka kwa watu mpaka watu wawe na elimu ya tauhid
Unamaanisha nini mkuu?
Kwa hiyo unataka kuniambia mwizi akiiba huwa anajichoma moto mwenyewe? ni wazi kabisa kuwa bado tunaishi kwenye hasira ya Mungu na ametuahidi kwamba atatusamehe ila bado hajatenda hivyo, hapa tulipo tuna imani kuwa kuna siku Mungu, ataitupilia mbali adhabu aliyotupatia, Mungu hafananiki kwa uweza na nguvu, hivyo unapaswa kujua siku yoyote saa yoyote mungu akiamua tu kusema basi inatosha, kila kitu kitakaa sawa na hatutaona shida tena, Mungu alikuwa na uwezo hata wa kuwasamehe kina adam tangu siku ile ile waliyofanya kosa, ila sababu alipata hasira kali ndo maana mpaka sisi vizazi wa vizazi tunaendelea kuteseka kwenye ile hasira ya Mungu, ila Sio kwamba Mungu akiamua kutumalizia hizi taabu hawezi!, La hasha anaweza sana, ila bado ana hasira na ndo maana anatuahidi kuwa atakuja, tena atakuja mwanae sio yeye kuwahukumu wazima na wafu, maana inaonekana Mungu ana hasira kali mno kwetu
Upendo na kunyesha kwa kumvua kuna uhusiano gani hapa? Jifunze kufikiria kijana. Zaidi ya hapo, wewe unalinganisha "Upendo" na "kuamini".
IN BLUE:
1. Kwanini Mungu alimtuma Mwanae?
2. Kwanini Mwanae ilibidi afe?
3. Kwanini Mwanae na sio Malaika?
4. Kuokoka kutokea nini na au wapi?
5. Kwanini watu wokoke?
Kwanza Mungu ana uoendo mkuu na ndio maana alikuja na kufa kwasababu ya makosa yako uliyojitakia mwenyewe
Halafu unapokatazwa kufanya jambo na ukaambiwa adhabu yake ni viboko kumi halafu ukafanya huku unajua kabisa adhabu yake,ukitandikwa utakuwa umejitandika mwenyewe au laa?
Unajua maana ya kuweza yote wewe?Mungu mkuu ni muweza wa yote lkn Yesu wa kweli au yesu wa uongo hawezi kufanya lolote bila amri ya Mungu Mkuu
Mungu hafi! Wala hajawahi Kufa! Wala HATOKUFA HATTA SIKU MOJA.
SIFA ya Kufa ni ya VIUMBE na SIO ya MUNGU MKUU.
Wacheni kudanganya watu enyi wagalatia. Mtapigwa na Laana mfe kabla ya siku zenu.
Wacha wewe unaekopi na ku paste.
Andiko lako pia limeongezewa manano na yule mnaemuabudu aliyejipa Unabii PAULO.
Huyu ndio mtu pekee ktk hio bibilia agano jipya ndio aliowadanganya habari ya Mungu KUJITOA MUHANGA!
Tatizo lenu nyie ni Akili kuambiwa.
Kila mnachoambiwa mnabeba mazima!
Mara Mungu Kafa!
Mara kaskia njaa!
Mara kapigwa mpaka analia!
Mara Kavunja meza za watu sokoni!
Huyu Mungu? Au Mangi?
Ukitandikwa utakuwa umetandikwa na huyo ambaye alikuonya usifanye hilo kosa,. Tunaamini kuwa Mungu ana Upendo ila suala la yeye kujitoa na kuja duniani na kuvaa mwili wa binadamu na kuteswa, Lilibadilisha nini katika maisha yetu kimwili? sababu watu waliendelea kufa kama kawaida, dhiki njaa na shida bado viliendelea, Ila Unatakiwa kujua kuwa saa yoyote Muda wowote hata sasa akiamua kusema imetosha, kila kitu kitakuwa sawa na tutakuwa salama salimini kutoka kwenye mikono ya Shetani ila sababu tu Mungu bado ana hasira juu yetu ndo maana ameamua kukaa mbali na hata siku ya mwisho atayekuja kuhukumu ni Mungu mwana ila Mungu baba hataki hata kutuona sisi kwa jinsi alivyochukia tangu zama za Adam
Unajua maana ya kuweza yote wewe?
Unasema anaweza yote halafu unasema hawezi kufa,mbona unajikinza?
Kama Mungu anaweza yote kwanini ashindwe kufa?
Kiongozi, unawamaliza hawa jamaa bila ya huruma. Swaaaafiiiiiiii mweeeMungu anaweza yote au hawezi?
Hebu shirikisha Ubongo japo siku moja wewe!
Kuwa na uwezo wote Hakuna maana kujidhalilisha na kufanya vitu vilivyo kinyume na Sifa zako.
Wewe una uwezo wa kufunga ndoa na mzazi wako wa kike.
Je! Km unatumia akili zako Utaweza kufanya hivyo?
Moja ya Sifa Kuu ya MUNGU ni WA MILELE NA MILELE.
Sasa Akishakufa Hio sifa Bado ITAKUWEPO?
Nyie kila siku Mnatuimbia hapa na Mnasema kuwa ETI mungu wenu ana NAFSI TATU!
Sasa Wakati ile Nafsi moja ILIPOKUFA ina manaa huyo mungu wenu aliishi kwa NAFSI MBILI?
HIvi Lini mtaamua Kutoka nje ya Box la ugalatia Na Kuuona Ukweli?
Mungu AFE! na Wewe Umpe Cheo Cha Alfa na Omega !?
Duh!
Ugalatia Balaa nyie!