Kwanza kabisa umeonyesha udhaifu mkubwa sana na ukosefu wa ufahamu wa nini kilitokea hapo mwanzo.
ya asili yetu ni Adam.
7. Wewe unashangaa kwanini dhambi aliyo fanya Adam ikufuate lakini haushangai kwanini DNA yako na baba yako zinashabihana.
8. Wewe unashangaa kwanini Adam dhambi yake ikufuate lakini haushangai kwanini mtu mwenye Ukimwi akikuingiza damu yake na wewe unapata ukimwi. Your blood is Adamic.
9. You need the blood of Jesus to nullify the corrupted blood of Adam.
10. Ndio maana huwezi kwenda Mbinguni bila ya kutumia damu ya Yesu.
11. Kumbe basi the second Adam ndie alikuja kutengua ile dhambi ya asili.
12. Bila ya Yesu Mungu, weye huendi Mbinguni bali Jehannam inakungoja.
YESU NI MUNGU MKUU
Yesu sio Mungu wala sio mwana wa Mungu.
Na km Yesu mnamuita mwana wa Mungu! Hebu tutizame kwenye BIBILIA je ! Yuko peke yake? Au kuna wana wa Mungu wengine?
Tuangalie ushahidi uliopo katika Biblia, huenda ukaelewa uhalisia wa neno Mwana wa Mungu.
Biblia inasema kwamba:
1. Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu.(Kutoka 4:22).
2. Daudi ni mwana wa Mungu, yeye pia ni mwana wa kwanza. (Zaburi 89: 26-27).
3. . . . .maana mimi ni baba wa Israel i na Ef raim (Ibrahim) ni mzaliwa wa kwanza wangu. (Yeremia31:9). Hawa wana wa Mungu wote, kila mmoja wao ni mzaliwa wa kwanza kwa Mungu.
Kwanza itakuwaje watoto wote watatu wawe wazaliwa wa kwanza kwa Mungu?
Pili kwa nini hawa wazaliwa wa kwanza wasiitwe miungu?
Na kama hawa watatu wakubwa hawawezi kuwa miungu wala hawaabudiwi, basi mtoto mdogo Yesu pia hana haki yoyote ya kuitwa Mungu wala hana haki ya kuabudiwa.
OK TUENDELEE:
4. Suleimani ni Mwana wa Mungu. (Mambo ya Nyakati 22:9-10).
5. Wa p a t a n i s h a o w a m e i t w a Wa n a w a M u n g u.(Mathayo 5:9).
Oo! siyo tu bali katika Biblia baadhi ya watu wameitwa miungu. Tena hakuna Mkristo ambaye anawaita miungu wala hawaabudiwi.-
Kama Biblia inavyosema kwamba:
A. Yesu akawajibu, Je! haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, mimi nimesema, ndinyi miungu? (Yohana 10:34).
B. Bwana akamwambia Musa angalia, nimekufanya wewe kuwa kama mungu kwa Farao na huyo ndugu yako Harun atakuwa Nabii wako. (Kutoka 7:1)
Hivyo basi;
Mwana wa Mungu maana yake ni kipenzi cha Mungu, yaani anayefata na kutekeleza maagizo ya Mwenyezi Mungu.
Nadhani mpaka hapa Wagalatia
Ishmael Eiyer na
2013 mtakuwa mmepata darasa la kutosha kabisa.
Hio dodoma wine mnayoita damu ya Yesu inaathiri Maini na figo! Mtaumia kwa kuwa na vichwa maji! Acheni.