Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uwezo wa kufunga ndoa na mama yangu mzazi hivyo tafuta mfano mwingine
Mungu kuweza yote maana yake hakuna kinachomshinda hata kuwa mwanadamu pamoja na kufa pia
Kwanini ashindwe kufa kama anaweza yote?
Huyo Mungu ambae anashindwa kufa au kuwa mwanadamu ni Mungu kweli?
Usinichagulie mifano.
Wewe si una uwezo wa kufunga ndoa na mama yako. Mbona hujafanya hivyo.
Wewe si una uwezo wa kula mavi yako? Mbona hufanyi hivyo?
Wewe una uwezo wa Kumzini mwanao Mbona hufanyi hivyo?
Hii mifano ni midogo sana Ukilinganisha na Huo Wa MUNGU KUFA!
uwezekano wa wewe kula mavi yako au kuona binti yako au mama mzazi ni mkubwa Sana kuliko wa MUNGU KUFA!
Sina uwezo wa kufunga ndoa na mama yangu mzazi hivyo tafuta mfano mwingine
Mungu kuweza yote maana yake hakuna kinachomshinda hata kuwa mwanadamu pamoja na kufa pia
Kwanini ashindwe kufa kama anaweza yote?
Huyo Mungu ambae anashindwa kufa au kuwa mwanadamu ni Mungu kweli?
Mungu wako hawezi kuwa kaburini halafu wakati huo huo.akawa.mahali pengine?Nakuuliza swali dogo tu.
Moja ya sifa za MUNGU MKUU ni kukubali kuwa yeye ni Wa Milele na milele .
Sasa naomba uende ukafungue kamusi halafu nipe maana ya
"wa milele na milele"
Tafadhali usiniandikie unacho kifikiriri wewe! Au sasa hivi utachafua hali ya hewa.
Na mwambie huyo Muimba kwaya miss Paster Ishmael aendelee kuimba kwaya na kupiga vigelegele.
Unajua Allah sio akbar na wala uo u-akbar hato upata kamwe.
Ona ngoma hii:
Allah hawezi kuwa na Mwana bila ya Mke. Madai haya yapo kwenye Quran.
Maria yeye anaweza kuwa na Mwana bila ya Mume. Madai haya yako kwenye Quran.
Sasa: Kati ya Allah asie weza kuwa na Mwana bila ya Mke NA Maria aliyeweza kuwa na Mwana bila ya Mume nani ni AKBAR?
MSIBA HUU MWANAWANE
Sasa sawa kiongozi.Hahahahaaaaa....
Mkuu naona tuachane na huyu jamaa asije akatuchafulia uzi wetu hapa
Wacha tuwafundishe watu upendo wa Mungu wa kweli na sio miungu yao ya kuchonga chonga
Mungu wako hawezi kuwa kaburini halafu wakati huo huo.akawa.mahali pengine?
Hahahahaaaaa....
Mkuu naona tuachane na huyu jamaa asije akatuchafulia uzi wetu hapa
Wacha tuwafundishe watu upendo wa Mungu wa kweli na sio miungu yao ya kuchonga chonga
Sasa sawa kiongozi.
Hahahahaaaaa....
Mkuu naona tuachane na huyu jamaa asije akatuchafulia uzi wetu hapa
Wacha tuwafundishe watu upendo wa Mungu wa kweli na sio miungu yao ya kuchonga chonga
Mkuu, na kiswali kidogo kwako sasa Mungu akifa hii dunia yake alioiumba anamuachia nana?Unajua maana ya kuweza yote wewe?
Unasema anaweza yote halafu unasema hawezi kufa,mbona unajikinza?
Kama Mungu anaweza yote kwanini ashindwe kufa?
Nini kimesababisha utandikwe?
Na aliesababisha nani utandikwe?
Bila kukosea ungetandikwa?
Nini kimesababisha utandikwe?
Na aliesababisha nani utandikwe?
Bila kukosea ungetandikwa?
Usilete Ujanja hapa.
Jibu swali kwanza halafu ulete swali!
Nini maana ya milele na milele.?
Fungua kamusi Utazame Mgalatia!
Acha kukimbia swali.
Nimeshakwambia Moja ya Sifa Kuu ya MUNGU ni kuwa Yeye ni Wa Milele na milele.
Na kizuri zaidi Sifa hii hata nyie wagalatia Mnaikubali.
Sasa naomba maana yake ili tuone je! Wa MILELE NA MILELE ANAWEZA Pia KUFA??
Au ALFA na OMEGA Anaweza pia KUFA?
Nasubiri Jibu.
Bwana wewe Eiyer! kwani wewe ndo Adamu? unahusika vipi kwa kosa walilofanya Kina Adamu na Hawa wastani wa miaka 6000 iliyopita? Ulikuwepo kwenye makubaliano ya Adam, Hawa na Mungu? Ulikuwepo wakati Adamu na Hawa wanakula Tunda? Mwanafunzi shule akikosa huwa anachapwa na kupewa adhabu yeye kama yeye lini ulishaona anachapwa mwanafunzi kwa kosa alilofanya yeye mwenyewe kisha mchapaji/mwalimu anaanza kuwatafuta na ndugu zake wa huyo aliyekosea awachape na kuwapa adhabu!? ili hali waliofanya makubaliano ya kuwa hili ni kosa na ukikosa nitakuchapa ni kati ya mwalimu na Mwanafunzi!, na ndugu wengine walikuwa hawapo hapo kwenye hayo makubaliano.
Ile adhabu kama hadi sasa ingekuwa inawapata kina Adam na mwenzake Hawa ingekuwa ni sawa sababu hilo kosa linawahusu wao wenyewe, na walishaonywa ila hawakusikia huenda hata wewe Eiyer ungekuwa Adam ungekataa kula lile Tunda? sasa utajisikiaje Baba yako aibe Ng'ombe huko kijijini kisha wananchi wenye hasira kali wamchome moto yeye, kisha wafunge safari kukufuata wewe mjini na kisha kukuchoma moto wewe na watoto wako na mke wako?
Yesu alifundisha kwa mifano mimi nadhani utanielewa.
Nini kimesababisha utandikwe?
Na aliesababisha nani utandikwe?
Bila kukosea ungetandikwa?
Wrong thread God HaterKabla ya kusema sana kuhusu mungu, thibitisha kwamba yupo.
Ama sivyo sema unapiga hadithi za kusadikika zisizo na haja ya kuthibitishwa.
Kwanza kabisa umeonyesha udhaifu mkubwa sana na ukosefu wa ufahamu wa nini kilitokea hapo mwanzo.
1. Ailye ambiwa asile tunda ni Adam na sio Hawa kama ulivyo sema hapo juu.
2. Hawa aka Eve alipo kula tunda, hakuna kilicho tokea na mambo bado yalikuwa shwari, hili hukulifahamu.
3. Alipo kula tunda Adam ndio macho yao wote wawili yalifunguka na kujiona wapo uchi.
4. Mungu alipo kuja chini alimuuliza Adam, nani kakwambia upo uchi na sio Eva.
5. Adam mbavu yake ndio iliyo muumba Eva. Hivyo basi.......
6. Adam kwa kuwa ndie aliye tumiwa kutengeneza Eva, hiyo ndio sababu ya dhambi kufuta binadamu kwasababu ya asili yetu ni Adam.
7. Wewe unashangaa kwanini dhambi aliyo fanya Adam ikufuate lakini haushangai kwanini DNA yako na baba yako zinashabihana.
8. Wewe unashangaa kwanini Adam dhambi yake ikufuate lakini haushangai kwanini mtu mwenye Ukimwi akikuingiza damu yake na wewe unapata ukimwi. Your blood is Adamic.
9. You need the blood of Jesus to nullify the corrupted blood of Adam.
10. Ndio maana huwezi kwenda Mbinguni bila ya kutumia damu ya Yesu.
11. Kumbe basi the second Adam ndie alikuja kutengua ile dhambi ya asili.
12. Bila ya Yesu Mungu, weye huendi Mbinguni bali Jehannam inakungoja.
YESU NI MUNGU MKUU