Ni kweli Mungu hana Upendo? Au sisi tu ndio hatumuelewi!?

Ni kweli Mungu hana Upendo? Au sisi tu ndio hatumuelewi!?

Ulikuwa wapi wewe mpambe nuksi?
Au damu ya bwana ya jana ilikuwa kali?
We mwenye akili hebu msaidie shangazi yako kujibu hapa.

Wewe una uwezo wa kuzaa na mama yako mzazi au na mwanao je! Umelifanya hilo?

Hebu tuanzie hapo kwanza. Manake tatizo lenu wagalatia nikiweka data nyingi hapa hamchelewi kuomba uzi ufungwe.

Jibu hilo swali kwanza ili tuendelee.

Sina huo uwezo kwasababu sio muweza wa yote...
 
Sina huo uwezo kwasababu sio muweza wa yote...

Kwa hivyo yule mgalatia wa singida aliyezaa na mama yake ana uwezo wote sio?
Au Kwani we ni shoga!?

Leta jibu hapa usilete Ujanja wa kitoto.

Kwanini wewe huwezi kuzaa na mama yako au mwanao wa kike?
 
Kwa hivyo yule mgalatia wa singida aliyezaa na mama yake ana uwezo wote sio?
Au Kwani we ni shoga!?

Leta jibu hapa usilete Ujanja wa kitoto.

Kwanini wewe huwezi kuzaa na mama yako au mwanao wa kike?

Siwezi aisee... labda umuulize huyo mgalatia wa Singida aliwezaje?!
 
Kwanza kabisa, "immanent critique" ni nini?

Maana usije kuwa unasema maneno ya kiingereza kama Mzee Jongo uonekane unayajua wakati hata huelewi "immanent critique" ni nini.

Mtu anayejua "immanent critique" ni nini akisoma hapo juu ataona hujui maana ya "immanent critique".

So, to be clear, naomba unipe definition yako ya "immanent critique".

Unahangaika Bure tu kijana.
Wewe nilikuuliza maana ya Kiranga lkn mpaka leo hujatoa jibu.

Sasa kabla ya kukimbilia lugha za wakoloni hebu tusaidie maana ya "KIRANGA" ili tufahamu tabia zako.
Manake wanasema waungwana "Jina lina akisi tabia ya Mtu.

Kiranga maana yake Nini?
Ukishindwa kujibu itabidi nikusaidie manake mi kizaramo ndio umefika.
 
Last edited by a moderator:
Dreadnought

Eiyer ameshindwa kabisa kujibu hoja zako mkuu. Sina swali maana umeuliza kila swali nililotaka kuuliza na ameshindwa kabisa kujibu zaidi ya kukuona mkorofi huku akitafuta njia ya kukimbilia!!
 
Last edited by a moderator:
Ni kinyume kabisa na sifa za mwanadamu...

Asante sana kwa jibu hili.

Sasa na tendo la KUFA ni KINYUME KABISA NA SIFA ZA MUNGU MKUU.

Wewe juu ya kuwa na uwezo wa Kuzaa na mwanao lkn Umekubali kabisa ni Kinyume kabisa na sifa za mwanadamu.
Hivyo hivyo Juu ya kuwa MUNGU MKUU ana uwezo wote lkn sifa hio ya kufa ni kinyume kabisa na Sifa za Mungu Mkuu.

Na sifa hio ni ya VIUMBE vya Mungu PEKE YAKE.

Nadhani Leo Utakuwa umenielewa japo kuwa huwa unajitia Uchizi kusudi.
 
Kwani Mungu yupi amekufa?!
 
Q
Kama unamaanisha Yesu, basi Yesu alikuwa asilimia 100 binadamu, asilimia 100 Mungu...

Haya ndio matatizo ya kwaya bila kula.
Ktk Hesabati hakuna kitu au kiumbe kikawa na sifa za asilimia 200%

Haya ni maneno ya vilabuni?

Hata ile damu ya yesu waipike usiku kucha na mchana wake haiwezi kuvuka 100% alcohol.
 
Kwanza kabisa, "immanent critique" ni nini?

Maana usije kuwa unasema maneno ya kiingereza kama Mzee Jongo uonekane unayajua wakati hata huelewi "immanent critique" ni nini.

Mtu anayejua "immanent critique" ni nini akisoma hapo juu ataona hujui maana ya "immanent critique".

So, to be clear, naomba unipe definition yako ya "immanent critique".
Ni njia ya kifalsafa inayotumia "mikinzano" iliyopo kwenye idea kuipinga idea hiyo

Kumbuka,mikinzano hiyo inakuwa sio mikinzano hadi pale imethibitika hivyo na kinachofanya iwe hivyo ni immanent critique,hapa hii immanent critique inaweza kuonesha njia tu ya kuonesha matatizo yaliyoko kwenye idea husika lakini sio kupinga uwepo wake

Hili utaliona hapa kwamba kama hiyo immanent critique itafaulu hapa haitathibitisha kwamba hakuna Mungu bali kutakuwa hakuna Mungu wa aina inayojengewa hoja na immanent critique,lakini inawezekana kukawa na Mungu bado ila akawa sio mwenye sifa hizo!
 
Sasa huyo ndiye Yesu sasa, hata kwenye hesabu zako amekataa...

Hapa ndipo wagalatia wanapoibiwa kila siku.
Ukimuuliza Swali la kawaida tu mchungaji anatoa jibu km lako na kukwambia Eti ni miujiza ya bwana.

Halafu na wewe kwa busara zako za panya buku unaondoka kanisani roho baridiii! Umeamini kabisaa!

Teh teh teh!

Hapo juu unauliza Mungu gani kafa!
Na hapa ili upate kumuua Mungu basi unamvisha mwili wa yesu wa msalabani ili AFE TU jwa ajili yako.

Kweli Wewe ni Summun bukmun!

Jahannamu itakukumbusha Haki.
Time will tell very soon!
 
1; Mungu ninaemzungumzia hapa ni Ehyeh Asher Ehyeh
2; Yesu ni Mungu!

Duh! umenchanganya hapo na hapo ndiyo kuzingumkuti kinapoanzia. Yaani huyo wa juu ni Mungu namba moja kama ulivyoweka na huyo wa chini ni Mungu namba mbili kama ulivyoweka?

Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu" niabuduni?
 
Hapa ndipo wagalatia wanapoibiwa kila siku.
Ukimuuliza Swali la kawaida tu mchungaji anatoa jibu km lako na kukwambia Eti ni miujiza ya bwana.

Halafu na wewe kwa busara zako za panya buku unaondoka kanisani roho baridiii! Umeamini kabisaa!

Teh teh teh!

Hapo juu unauliza Mungu gani kafa!
Na hapa ili upate kumuua Mungu basi unamvisha mwili wa yesu wa msalabani ili AFE TU jwa ajili yako.

Kweli Wewe ni Summun bukmun!

Jahannamu itakukumbusha Haki.
Time will tell very soon!
Summun bukmun mwenyewe...
 
Duh! umenchanganya hapo na hapo ndiyo kuzingumkuti kinapoanzia. Yaani huyo wa juu ni Mungu namba moja kama ulivyoweka na huyo wa chini ni Mungu namba mbili kama ulivyoweka?

Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu" niabuduni?

Kabla ya kwenda huko unakokutaka ni kwamba hayo yote hapo yaliyokushangaza ni kwasababu Mungu wangu anaweza yote na mungu unaemjua wewe hawezi kuwa binadamu

Baada ya hayo nakuja kwenye swali lako;

Unataka nikupe jibu kwa kutumia ushahidi gani?
Je,huo ushahidi unauamini kwamba ni kweli?
 
Duh! umenchanganya hapo na hapo ndiyo kuzingumkuti kinapoanzia. Yaani huyo wa juu ni Mungu namba moja kama ulivyoweka na huyo wa chini ni Mungu namba mbili kama ulivyoweka?

Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu" niabuduni?
Ufunuo 22:16 Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi.

Sasa kuonyesha ya kwamba hiyo sio issue hebu na wewe tuma malaika wako...
 
Back
Top Bottom