Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,208
- 2,767
The person is mindless
Hawezi kusaidia anacho kijua kwa ushahid, the person is the waste of time and life.
Najua huyu mtu ni nothing lakini nimemutag makusudi ili apate elimu ya bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The person is mindless
Hawezi kusaidia anacho kijua kwa ushahid, the person is the waste of time and life.
Uwendawazimu ni fani...Mgalatia Eiyer kaingia gizani atakae tokea hapa ni Mkuu wa chuo cha machizi wa pale Yombo vituka!
Teh teh teh!
Ulikuwa wapi wewe mpambe nuksi?
Au damu ya bwana ya jana ilikuwa kali?
We mwenye akili hebu msaidie shangazi yako kujibu hapa.
Wewe una uwezo wa kuzaa na mama yako mzazi au na mwanao je! Umelifanya hilo?
Hebu tuanzie hapo kwanza. Manake tatizo lenu wagalatia nikiweka data nyingi hapa hamchelewi kuomba uzi ufungwe.
Jibu hilo swali kwanza ili tuendelee.
Sina huo uwezo kwasababu sio muweza wa yote...
Kwa hivyo yule mgalatia wa singida aliyezaa na mama yake ana uwezo wote sio?
Au Kwani we ni shoga!?
Leta jibu hapa usilete Ujanja wa kitoto.
Kwanini wewe huwezi kuzaa na mama yako au mwanao wa kike?
Kwanza kabisa, "immanent critique" ni nini?
Maana usije kuwa unasema maneno ya kiingereza kama Mzee Jongo uonekane unayajua wakati hata huelewi "immanent critique" ni nini.
Mtu anayejua "immanent critique" ni nini akisoma hapo juu ataona hujui maana ya "immanent critique".
So, to be clear, naomba unipe definition yako ya "immanent critique".
Ni kinyume kabisa na sifa za mwanadamu...
Asante sana kwa jibu hili.
Sasa na tendo la KUFA ni KINYUME KABISA NA SIFA ZA MUNGU MKUU.
Wewe juu ya kuwa na uwezo wa Kuzaa na mwanao lkn Umekubali kabisa ni Kinyume kabisa na sifa za mwanadamu.
Hivyo hivyo Juu ya kuwa MUNGU MKUU ana uwezo wote lkn sifa hio ya kufa ni kinyume kabisa na Sifa za Mungu Mkuu.
Na sifa hio ni ya VIUMBE vya Mungu PEKE YAKE.
Nadhani Leo Utakuwa umenielewa japo kuwa huwa unajitia Uchizi kusudi.
Kama unamaanisha Yesu, basi Yesu alikuwa asilimia 100 binadamu, asilimia 100 Mungu...
Ni njia ya kifalsafa inayotumia "mikinzano" iliyopo kwenye idea kuipinga idea hiyoKwanza kabisa, "immanent critique" ni nini?
Maana usije kuwa unasema maneno ya kiingereza kama Mzee Jongo uonekane unayajua wakati hata huelewi "immanent critique" ni nini.
Mtu anayejua "immanent critique" ni nini akisoma hapo juu ataona hujui maana ya "immanent critique".
So, to be clear, naomba unipe definition yako ya "immanent critique".
Q
Haya ndio matatizo ya kwaya bila kula.
Ktk Hesabati hakuna kitu au kiumbe kikawa na sifa za asilimia 200%
Haya ni maneno ya vilabuni?
Hata ile damu ya yesu waipike usiku kucha na mchana wake haiwezi kuvuka 100% alcohol.
Sasa huyo ndiye Yesu sasa, hata kwenye hesabu zako amekataa...
1; Mungu ninaemzungumzia hapa ni Ehyeh Asher Ehyeh
2; Yesu ni Mungu!
Summun bukmun mwenyewe...Hapa ndipo wagalatia wanapoibiwa kila siku.
Ukimuuliza Swali la kawaida tu mchungaji anatoa jibu km lako na kukwambia Eti ni miujiza ya bwana.
Halafu na wewe kwa busara zako za panya buku unaondoka kanisani roho baridiii! Umeamini kabisaa!
Teh teh teh!
Hapo juu unauliza Mungu gani kafa!
Na hapa ili upate kumuua Mungu basi unamvisha mwili wa yesu wa msalabani ili AFE TU jwa ajili yako.
Kweli Wewe ni Summun bukmun!
Jahannamu itakukumbusha Haki.
Time will tell very soon!
Wote hao ni kitu kimoja, MIMI NIKO AMBAYE NIKO...Duh! umenchanganya hapo na hapo ndiyo kuzingumkuti kinapoanzia. Yaani huyo wa juu ni Mungu namba moja kama ulivyoweka na huyo wa chini ni Mungu namba mbili kama ulivyoweka?
Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu" niabuduni?
Duh! umenchanganya hapo na hapo ndiyo kuzingumkuti kinapoanzia. Yaani huyo wa juu ni Mungu namba moja kama ulivyoweka na huyo wa chini ni Mungu namba mbili kama ulivyoweka?
Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu" niabuduni?
Ufunuo 22:16 Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi.Duh! umenchanganya hapo na hapo ndiyo kuzingumkuti kinapoanzia. Yaani huyo wa juu ni Mungu namba moja kama ulivyoweka na huyo wa chini ni Mungu namba mbili kama ulivyoweka?
Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu" niabuduni?