kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Hapa tunamzungumzia Mungu wa kwenye Biblia na sio huyo wa kwenye Quran,Mungu wa kwenye biblia ni tofauti na wa kwenye Quran,tafadhali fuata masharti ya mjadala .....
Huyo mungu wa kwenye Quran mnamjua nyie tu na mnaweza kuanzisha mjadala unaomhusu!
Wewe mungu wako si unasema alikufa?
Wa kwangu mimi HAFI, HAJAWAHI KUFA, WALA HATOKUFA MILELE.
wewe mungu wako si alipigwa na Viumbe? Na akasikia Njaa na kulia machozi?
Sikia sifa za Mungu wangu Sasa.
Quraan Al anaam 6; 1
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ وَجَعَلَ الظُّلُمَاتِ وَالنُّورَ ۖ ثُمَّ الَّذِينَ كَفَرُوا بِرَبِّهِمْ يَعْدِلُونَ
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu aliye umba mbingu na ardhi, na akafanya giza na mwangaza. Tena baada ya haya walio kufuru wanawafanya wengine sawa na Mola wao Mlezi.
وَهُوَ اللَّهُ فِي السَّمَاوَاتِ وَفِي الْأَرْضِ ۖ يَعْلَمُ سِرَّكُمْ وَجَهْرَكُمْ وَيَعْلَمُ مَا تَكْسِبُونَ
Na Yeye ndiye Mwenyezi Mungu mbinguni na ardhini. Anajua ya ndani yenu na ya nje yenu. Na anajua mnayo yachuma.
