Ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara?

That's my point πŸ˜ŠπŸ€—
kuna ka ukweli hapa...hawa wanaowalilia wanaume Wenye pesa
Your browser is not able to display this video.

wengi wao wametokea kwenye maisha ya dhiki, surba, njaa kali, kajampa nani, kuvaa nguo moja kauka nikuvae na mengineyo
 
kuna ka ukweli hapa...hawa wanaowalilia wanaume wengi wao wametokea kwenye maisha ya dhiki, surba, njaa kali, kajampa nani, kuvaa nguo moja kauka nikuvae na mengineyo
Ndo hivyo inavyokuaga, fuatilia hata wanaume wanaohimizana watafute hela ili watoke na wanawake wazuri, wengi wao background zao ni umaskini uliotukuka. Ila ambao wako na background nzuri wanaweza wakapenda na kuoa yeyote yule bila kuangalia ana hela amesoma au hajasoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…