Ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara?

Naombeni mnipe majibu, ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara?
Inategemea unaweza ukawa fukara wa Pesa Ila ni tajiri wa kipaji/talanta kwa hio hapo kuna mengi, Mwanamke ameumbiwa kupenda Mwanaume ameumbiwa kutamani in short Mwanamke anaweza akafall in love na perfume tu ya Mwanaume sio Pesa
 
Hamna,, sema tu hamjiamini😃😃
Kujiamini wapi ukianza na Pesa unatakiwa umalize na Pesa pia ukiingia na gia zingine inabidi umalize na gia hizo zingine, sasa unajimwambafai Mimi namiliki kituo cha mafuta Dubai namiliki visima nyenyenye mtoto Leejay49 anajua hapa kuna maokoto ya kutosha anaanza kudai shopping za ajabu macho yanakutoka
 
Hakuna uhusiano kati ya pesa na mapenzi ila dunia ndio imebadilisha mambo yawe ivo sad
 
Hakuna uhusiano kati ya pesa na mapenzi ila dunia ndio imebadilisha mambo yawe hivyo na pia zamani akukuwepo na simu hata
 
rudia kusoma vizuri....kuna tuvituvitu ndani thread yangu
Achana na kitu kinaitwa hisia za mapenzi...

Mwanamke hata kama ukampa Kila kitu kama hana hisia na wewe za mapenzi, ataenda kwa fukara ambaye anahisia nae..


Uswahilini ndoa zinadumu sababu wanapendana kweli kwa hisia...

Ushuani mara nyingi upendo ni wa vitu na sio mtu...mf gari, pesa, nyumba...

Ni vigumu ndoa kudumu ushuani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…