Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Mara nyingi hauoni destination ila sina uhakika kwa ndege ya rais wa Tz

Pia ndege kuwa tracked hvy sio ishu kubwa mana hakuna details muhimu za ndani kabisa za ndege mfano, huwezi kujua kuna idadi gn ya watu humo ndani, serial number huzioni. Tunachoona ni safari zake, namba za usajili ya ndege, mmiliki wa ndege (kama ni private mara nyingi hua hawamuandiki mhusika) n.k

Air force one sijawahi kuona wakitaja destination, VP wa USA alivoondoka siku kama 5 hv mbele Air force one ilipita Tena kwenye anga letu lkn haikuwa na destination, hy siku nilikuwa napoteza muda kwa kuangalia ndege zinazopita kwenye anga letu na nikaiona hy ndege ikiwa kwenye uelekeo wa JNIA lkn ikapitiliza kuingia bahari ya Hindi.
Air force 2 Kamara Harris alipokuja Bongo mi nilikuwa mtu mmoja wapo niliokuwa bafatilia through flight radar na nilileta uzi humu ndege ya air tanzania kuzuiliwa kuingia katika anga ata mkoa wa Pwani.
JamiiForums-324214087.jpeg

Safari ya Nancy Pelosi siku anaenda Taiwan na kizaazaa chote kile ila ndege yake ilikuwa inaongekana katika flight radar, namimi nilikuwa nafulitia pia
IMG_20220802_201408.jpg
 
Mda wa kula Bata.

Safari za sirisiri kama hizi ujue kuna dili kubwakubwa ndani yake.

Rais ni mali ya uma hapaswi kusafiri nje bila taarifa.
Unadhani Naye ataacha kujiwekezea, ameeenda kuangalia mjengo wake unavoendelea.

Sio wengine walambe [emoji518] yeye akiwaangalia.

Shamba ya bibi.
Hata Aliyemrithi akienda CHATO Kwa mwezi nazaidi akisimamia uwanja.
 
Air force 2 Kamara Harris alipokuja Bongo mi nilikuwa mtu mmoja wapo niliokuwa bafatilia through flight radar na nilileta uzi humu ndege ya air tanzania kuzuiliwa kuingia katika anga ata mkoa wa Pwani.View attachment 2585709

Safari ya Nancy Pelosi siku anaenda Taiwan na kizaazaa chote kile ila ndege yake ilikuwa inaongekana katika flight radar, namimi nilikuwa nafulitia pia View attachment 2585711
Kabisa mkuu, huo uzi pia niliuona na ndio ukanifanya na mm ni-download hy app ya radar.
Mara kadhaa nikiwa free hua naangalia safari za ndege sasa siku hy nikakutana na Air force one ikipita anga letu
Afu kumbe Air force one ziko tofauti, mm nilijua ni ndege moja, nikajua P na VP wanatumia ndege moja.
 
Unadhani Naye ataacha kujiwekezea, ameeenda kuangalia mjengo wake unavoendelea.

Sio wengine walambe [emoji518] yeye akiwaangalia.

Shamba ya bibi.
Hata Aliyemrithi akienda CHATO Kwa mwezi nazaidi akisimamia uwanja.
Chato uwanja wa wote. B
 
Sna hakika na hilo ila njnachojua Airforce One iko moja tu ina kuna kitu kinaandikwa Airforce (USAF)! Labda ilikuchanganga ilo neno ukiona Airforce unajua zote ni One kumbe kuna Two then kuna Airforce (USAF) angalia hiyo picha ya pili aliyokaitumia spika wa Bunge la Marekan kwendanayo Taiwan nayo ni Airforce (USAF)
Kabisa mkuu, huo uzi pia niliuona na ndio ukanifanya na mm ni-download hy app ya radar.
Mara kadhaa nikiwa free hua naangalia safari za ndege sasa siku hy nikakutana na Air force one ikipita anga letu
Afu kumbe Air force one ziko tofauti, mm nilijua ni ndege moja, nikajua P na VP wanatumia ndege moja.
 
Sna hakika na hilo ila njnachojua Airforce One iko moja tu ina kuna kitu kinaandikwa Airforce (USAF)! Labda ilikuchanganga ilo neno ukiona Airforce unajua zote ni One kumbe kuna Two then kuna Airforce (USAF) angalia hiyo picha ya pili aliyokaitumia spika wa Bunge la Marekan kwendanayo Taiwan nayo ni Airforce (USAF)
Yah hy ambayo niliona ni USAF, hv hy si ile kama ya kijeshi au.?
 
Sna hakika na hilo ila njnachojua Airforce One iko moja tu ina kuna kitu kinaandikwa Airforce (USAF)! Labda ilikuchanganga ilo neno ukiona Airforce unajua zote ni One kumbe kuna Two then kuna Airforce (USAF) angalia hiyo picha ya pili aliyokaitumia spika wa Bunge la Marekan kwendanayo Taiwan nayo ni Airforce (USAF)
Bc n mm nilichanganya, air force one niliyoona Ni ile ya kijeshi na sio ile ya P au VP
 
Hii nchi inawapumbavu wengi sana mkuu, ni rahisi sana kumezeshwa ujinga na kuubeba kama ulivyo!
Unakosea mkuu, ukiwa hujui kitu haimaanishi na wengine hawajui. Ukiwa huna taarifa au maarifa juu ya kitu fulani haimaanishi na wengine hawajui.
Mtoa mada ameandika sahihi kabisa ila ww ndie huna hayo maarifa/taarifa.
 
Tangia majuzi account ya Twitter ya Tanzania Leak's ilikuwa ikitoa raarifa juu ya Rais kwenda mapumziko ya Pasaka Dubai, taarifa hazikupewa uzito mkubwa ila leo hii ndege ya Rais wa Tanzania Gulfstream G550 yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kwenye mtandao wa Flight Radar ikitokea na Dubai na dakika chache zilizopita ilikuwa imeshatua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwal Nyerere.

View attachment 2585662View attachment 2585663

Hii Tanzania Watanzania wakiitaka?
Hii ndege ndiyo aliyonunua mkapa?
 
Back
Top Bottom