Ni kweli Rais Samia ana nasaba na familia ya Mfalme wa Oman?

Heeh!! Kumbe hujui Hao unawaona ni waarabu hapa Tanzania wote asilimia 95 ni wa mchanganyiko wa kiarabu na kiafrika ?? ( halfcaste) wapo mpaka mahalfcaste wa kichaga na kiarabu !! Mangikule mkuu hata tukiwabagua ni kazi bure tu maana Hao ni ndugu zetu tumechangia damu !! Hata mhe Mbowe anajua hivyo !!
 

Ubaguzi ni tatizo sugu sana kwa Watu weusi, Chuki za kibaguzi zinakutes ndugu
 

Umri wako ni zaidi ya miaka Mia tatu ? Bangi ukichanganya Na mbege ndio matokeo yake haya
 
Kwa Wazanzibar ni jambo la kawaida sana, makao makuu ya Oman yalihamishiwa Zanzibar, mpaka mawaziri wa Oman wanaongea kiswahili.
 
Ubaguzi ni tatizo sugu sana kwa Watu weusi, Chuki za kibaguzi zinakutes ndugu
Sio kwa weusi wote ila ni kwa baadhi ya wale wenye mioyo ya kibaguzi tu !! Ambao wapo duniani kote ila bahati mbaya kwao ni kwamba wanapigwa vita Duniani kote !! Hata America na Ulaya wapo wanaojiita White Supremacy !! Ambao wanaamini huko wanatakiwa kuishi wazungu tuu !!
 
Ubaguzi ni tatizo sugu sana kwa Watu weusi, Chuki za kibaguzi zinakutes ndugu
Acha niteseke tu! Ukishapata uzoefu mchungu ni vigumu sana kusahau. Juzi nilienda South Africa tukiwa kwenye workshop inayohusiana na madini.
Wakati wa mjadala bifu kali ilianza kati ya weusi na weupe. Nakumbuka weusi walirudia mara nyingi "mnataka kutuua tena"?
Ubaguzi upo na utakuwepo tusiporejea historia na kupambana nao!
 
Dunia ya leo ndugu zetu tena wa damu wapo kila mahali, nina nieces na watoto kuanzia Europe mpaka North America, sio issue kabisa huna haja ya kushtuka
Nilikuwa wageningen kwa wadachi na binti yangu alikuwa akipigwa na wazungu kwa kisingizio ana "body language" !!
 
Chunguza kuhusu hivyo vizazi na ubaguzi hao mahalf caste wanaopata kutoka kwa wale wanaojiona ni "pure". Tuache utani na tuwe makini sana! Nenda uone mabinti waliotolewa hapa kupelekwa kwenye kazi za ndani huko arabuni ujue hali zao! fyuuu! niacheni na ushamba wangu ila sikubali.
 
Labda kama lengo lako ulitaka tujuwe ulikwenda South Africa, lakini hao ujanja wao wote hawana jeuri kwa Wazungu hata siku moja.

Kwa maoni yangu Wasouth Africa weusi ndio wabaguzi zaidi na mbaya zaidi wanawabaguwa black wenzao wakati wazungu wapo salama kabisa.

Hakuna mzungu raia au mgeni aliyeuwawa kwenye Xenophobia.
 
UK watu wenye asili ya India wameshika nyadhifa kubwa kubwa Serikalini kama vile waziri wa fedha waziri wa mambo ya ndani na meya wa jiji la London ni Sadiq Khan !! Na wengi tu wapo wabunge na kadhalika !! Ubaguzi hauna nafasi katika karne ya 21,

Kuna wamatumbi masikini wa kutupwa baada ya Uhuru bado wana mentality hizo
Basi tutabaki hivyo hivyo mpaka kiyama

Kuna wabunge 15 wenye asili ya kihindi [emoji636] na wanaongezeka
Kuna blacks wachache na uzuri hata kama baadhi ya wananchi ni wabaguzi lakini Serikali inapambana kwa hilo

USA mpaka Wasomali tena wakimbizi wa kuja lakini wamepata kazi Bungeni

Sisi tutakufa na umasikini na roho za Korosho
 
Huko huko Afrika kusini weusir waliwauwa weusi
 
Tusikuze mambo bila sababu. Kuwa na ndugu wa karibu nje ya nchi ni kawaida. Obama alitawala Marekani kwa miaka 8 nduguze wa karibu wakiwa Kenya.

Mkapa akiwa Rais, mdogowe yasemekana alikuwa CDF Msumbiji.

Kagame alikuwa Waziri Ulinzi Uganda sasa Rais wa Rwanda. What is the big deal with Mama.

Kabila Snr. Akishindwa Tanzania kwa zaidi ya miaka 20, akaacha watoto hapa na akaenda kuwa Rais wa Congo. Kabila Jr. Alizaliwa na kukulia Tanzania na baadae akawa Rais wa Congo.

What is the big deal with Mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…