Ni kweli Rais Samia ana nasaba na familia ya Mfalme wa Oman?

Imelipa sana, maana karibu wote waliooa waarabu mambo yao kisiasa yakawanyookea sana!! Wengine wakaukwaa URais mpaka na watoto wakawa ma- Rais pia !!

Hivyo ulivyoandika inaonyesha namna gani miafrika ilivyokuwa haijipendi Na inavyopenda ukubwa
 
Wavyama hai wanaosemwa unajuaje kama ni mifugo au wanyamapori? Soko kubwa ni kupeleka mifugo. Watanzania tunapenda sana majanga na kufikiria mabaya kabla ya mazuriπŸ€”
So wanataka kusafirisha ngombe, mbuzi na punda? Sasa vugivugu la Ngorongoro na Loliondo limeanzaje saivi wakati ye yupo huko kwa "wajomba"
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ni ndugu zake katika imaan ya mnyaazi mmungu

wa omani ukiwa vizuri ni ndugu kwa sababu ya dini
ila ukiwa maskini ni ujombani kwa bibi.miaka ya nyuma kipindi cha makamu wa raisi bilali waarabu walikuwa wanamuita babu mpaka vijukuu wanasema wanasema .

unakumbuka kipindi cha kikwete
 
Oman ni waarabu sio watanzania hivyo sio ndugu zetu.

Maana watanzania sio waarabu.

Waarabu ni waarabu na watanzania ni watanzania
 
🀝🏻🀝🏻🀝🏻🀝🏻🀝🏻
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…