mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Suala LA loliondo na Ngorongoro tangu miaka yote lilipoanzia halijawahi kuhusishwa na nchi ya Oman Bali limekuwa likihusishwa na makampuni ya uwindaji kutoka United Arab Emirates ! Ambayo ni nchi nyingine ya huko bara la Arabuni !! Tusichanganye mambo !!sawa mkuu unazungumziaje suala la kusafirisha wanyama hai ukihusisha na kuondolewa wamasai kule Loliondo na Ngorngoro?