Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

TISS imekuja kuharibiwa wakati wa Awamu ya 4. Ukabila na kujuana umeletwa na JK, watu walikuwa wanapewa kazi hata ambao hawana sifa. Baada ya JK kuona ameharibu hii idara ndipo akaanzisha kitengo ambacho alikuwa anawajua yeye tu labda na watu waliokuwa karibu nae ki protocol. Hapo ndipo TISS iligawanyika wakaanza kuogopana.

God save us
 
Kuna mwingne ni mwalimu kabisa kijijini lakini nimeshaga nyaka picha zake nyingi tu za kutisha sana na anafanya kazi mazingira magumu waga namuangalia nacheka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toss ni wahuni tu
 
Kama OCD anawaogopa wauza makopo,basi ni sababu ya ugaidi na sio sababu wanaweza kuwa watu wa usalama wa taifa.sambamba na wauza alkasus.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuwa special kiasi hicho utasumbua watu.na ikifikia hatua hiyo hauko mbali kufa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuwa special kiasi hicho utasumbua watu.na ikifikia hatua hiyo hauko mbali kufa.



Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishawahi kutana na mdada mmoja telegram dau lako liko poa tu nikaenda kujilia mzigo sasa baada game napumziko story zake ni kuhusu usalama wa Taifa tu akiuliza ivi namjibu vile nikahisi tu uyu ni mwewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna mmoja huyo anakunywa
Pia mwingine namfaham ana sifa ulizotaja hapo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu, kwa vipaumbele vya maisha sasa mnapata wapi mda wa kujadili mambo yasiyokuwa na faida kwa kiwango hiki?
Kila mtu na kipaumbele chake otherwise unataka kusema maisha yako wewe ndiyo maisha ya wengine.
 
Hao TISS ni watu gani kwani ? Mbona mimi sijawahi fanikiwa kumfahamu hata mmoja ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…