Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,153
- 2,673
kwel kbsaDuh! Duh! Mmh umedanganya hakuna kitu kama hicho ningetoa uthibitisho lakini kwa sababu za kiusalama siwezi ila umedanganya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwel kbsaDuh! Duh! Mmh umedanganya hakuna kitu kama hicho ningetoa uthibitisho lakini kwa sababu za kiusalama siwezi ila umedanganya!
Sijaona umuhimi wa kuelezea kwa kizungu
ChaiHakuna kibarua kigumu kama hiki mkuu. Unaweza ukapewa kazi halafu baada ya kutoka tu nyuma yako anatumwa agent mwingine wa TISS kuja kukuchunguza kama na wewe utaenda kuifanya kazi yako kwa weledi. Kwa kifupi ni kwaba hakuna kuaminiana.
Zamani mtu ambaye yuko TISS alikuwa na uwezo wa kuoa/kuolewa na mtu ambaye sio TISS ila nowadays utaratibu umebadilika, ukiwa TISS unaoa/kuolewa na TISS mwenzako!
Muundo wa TISS umeharibiwa Sana na CCM , Tz idara hii inayumba Sana undugu na ukabila umejaa Sana, ethics zote zimeporomoka!!
Swala la kujuana inategemea kitengo, si wote wanaojuana inategemea kitengo chako!!!
House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
Hakuna kibarua kigumu kama hiki mkuu. Unaweza ukapewa kazi halafu baada ya kutoka tu nyuma yako anatumwa agent mwingine wa TISS kuja kukuchunguza kama na wewe utaenda kuifanya kazi yako kwa weledi. Kwa kifupi ni kwaba hakuna kuaminiana.
Zamani mtu ambaye yuko TISS alikuwa na uwezo wa kuoa/kuolewa na mtu ambaye sio TISS ila nowadays utaratibu umebadilika, ukiwa TISS unaoa/kuolewa na TISS mwenzako!
Hii kazi ukiwa nje ya box utaona ni kazi nzuri Sana, ila ukiingia utatamani kutoka na hutoona mlango. Hamna kitu kibya kma kuishi kwa kufanya kazi kwa amri jibu ni Yes. Inabidi uji sucrified ili wengine wapate kuishi kwahyo ufaanyaji wa kazi zako unakuwa katika risk places ili kutengeneza peace so incase when you failed you might dead
Kitu cha muhimu kukielewa ni kuwa kwanza hawa ni watumishi wa Serikali kama watumishi wengine. Kazi zao kwa kiasi kikubwa huambatana na usiri.Wanabodi, weekend hiyooo na kamvua kwa mbali hapa Arusha!
Nipo Triple A hapa. Kuna jamaa yangu ananiambia eti wana usalama/TISS hawafahamiani na hawaaminiani kabisa!
Yaani kila mmoja ana majukumu yake na mahala pa kureport. Hawana mazoea ya mwenzangu uko wapi, unafanya nini!
Hawaaminiani, hawajuani kivile!
Hii kitu ni kweli au ni mfumo kama tu wa TAMISEMI au taasisi zingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ngendere tangu lini ukawa TISS, punguza shobo kwenye kazi za watu...
Kwataarifa yako sasa Mkomavu ni mjeshi aliyepitia mafunzo ya juu na ameiva.Sasa wewe jichanganye,pia anakula mshahara mrefu kuliko hata wewe huko Tisi unalia njaa na kazi yako ya kimbea.Wewe ngendere tangu lini ukawa TISS, punguza shobo kwenye kazi za watu...
Wakuu naomba MSAADA wenu natamani Sana nijiunge na TISS ila sijui jinsi ya kujiunga kwa yeyote anae weza nisaidia anisaidie ASANTE.
hata rais mwenyewe hawajui wote ndo ujue sasa hii kazi ni ngum sana hata mkuu wa idara ya usalama hawajui wote.... ndo utakąpojua kuwa ni hatari kufanyakazi kwenye idara kama hii....Ni kweli hatufahamiani, unaweza Kukuta hata Tundu Lisu ni usalama wa taifa.
Ila kwa kutumia African chemistry unaweza kuwajua.hata rais mwenyewe hawajui wote ndo ujue sasa hii kazi ni ngum sana hata mkuu wa idara ya usalama hawajui wote.... ndo utakąpojua kuwa ni hatari kufanyakazi kwenye idara kama hii....
Idara gani hiyo hamfahamiani? Nyie si ndio mnataka mfahamike kwa nguvu na mikwara yenu ya kwamba unanijua mimi ni nani? Mkija na lugha hizi zisizo na uungwana kwangu nahakikisha nakutoa ngeo ukawasimulie wenzako huko kijitonyamaNi kweli hatufahamiani, unaweza Kukuta hata Tundu Lisu ni usalama wa taifa.
Ila wahuni wa singeli sio watu, Leo magufuli na ubabe wake wote wahuni wamempigisha magoti.Idara gani hiyo hamfahamiani? Nyie si ndio mnataka mfahamike kwa nguvu na mikwara yenu ya kwamba unanijua mimi ni nani? Mkija na lugha hizi zisizo na ungwana kwangu nahakikisha nakutoa ngeo ukawasimulie wenzako huko kijitonyama