Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

Hii kazi ukiwa nje ya box utaona ni kazi nzuri Sana, ila ukiingia utatamani kutoka na hutoona mlango. Hamna kitu kibya kma kuishi kwa kufanya kazi kwa amri jibu ni Yes. Inabidi uji sucrified ili wengine wapate kuishi kwahyo ufaanyaji wa kazi zako unakuwa katika risk places ili kutengeneza peace so incase when you failed you might dead
 
Hakuna kibarua kigumu kama hiki mkuu. Unaweza ukapewa kazi halafu baada ya kutoka tu nyuma yako anatumwa agent mwingine wa TISS kuja kukuchunguza kama na wewe utaenda kuifanya kazi yako kwa weledi. Kwa kifupi ni kwaba hakuna kuaminiana.

Zamani mtu ambaye yuko TISS alikuwa na uwezo wa kuoa/kuolewa na mtu ambaye sio TISS ila nowadays utaratibu umebadilika, ukiwa TISS unaoa/kuolewa na TISS mwenzako!
Chai
 
Kwan lini haikua Chin ya CCM Kama sasaiv CCM Ina iharibu
Muundo wa TISS umeharibiwa Sana na CCM , Tz idara hii inayumba Sana undugu na ukabila umejaa Sana, ethics zote zimeporomoka!!

Swala la kujuana inategemea kitengo, si wote wanaojuana inategemea kitengo chako!!!

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
Hakuna kibarua kigumu kama hiki mkuu. Unaweza ukapewa kazi halafu baada ya kutoka tu nyuma yako anatumwa agent mwingine wa TISS kuja kukuchunguza kama na wewe utaenda kuifanya kazi yako kwa weledi. Kwa kifupi ni kwaba hakuna kuaminiana.

Zamani mtu ambaye yuko TISS alikuwa na uwezo wa kuoa/kuolewa na mtu ambaye sio TISS ila nowadays utaratibu umebadilika, ukiwa TISS unaoa/kuolewa na TISS mwenzako!

Kuhusu kuoa na kuolewa si kweli.
 
Hii kazi ukiwa nje ya box utaona ni kazi nzuri Sana, ila ukiingia utatamani kutoka na hutoona mlango. Hamna kitu kibya kma kuishi kwa kufanya kazi kwa amri jibu ni Yes. Inabidi uji sucrified ili wengine wapate kuishi kwahyo ufaanyaji wa kazi zako unakuwa katika risk places ili kutengeneza peace so incase when you failed you might dead

Si ndio maana kuna risk allowances.
 
Wakuu naomba MSAADA wenu natamani Sana nijiunge na TISS ila sijui jinsi ya kujiunga kwa yeyote anae weza nisaidia anisaidie ASANTE.
 
Wanabodi, weekend hiyooo na kamvua kwa mbali hapa Arusha!

Nipo Triple A hapa. Kuna jamaa yangu ananiambia eti wana usalama/TISS hawafahamiani na hawaaminiani kabisa!

Yaani kila mmoja ana majukumu yake na mahala pa kureport. Hawana mazoea ya mwenzangu uko wapi, unafanya nini!

Hawaaminiani, hawajuani kivile!

Hii kitu ni kweli au ni mfumo kama tu wa TAMISEMI au taasisi zingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu cha muhimu kukielewa ni kuwa kwanza hawa ni watumishi wa Serikali kama watumishi wengine. Kazi zao kwa kiasi kikubwa huambatana na usiri.
Huwa wanafanya kazi katika vikundi vidogo vidogo na kila kikundi huwajibika kwa mtu fulani('Handler') ambaye ndiye anapanga shughuli za kila siku na kupokea taarifa. Hivyo siyo lazima wafahamiane.
Kutokuaminiana ni kawaida kwani unaweza kukuta mtu unayetaka kumwamini ndiye unayemchunguza na yeye anakuchunguza hivyo kutokuaminiana na kudanganyana ndiyo mwendo..
Nadharia ya Usalama wa Taifa haitofautiani sana kimsingi na nchi nyingine kwani msingi wake mkubwa ni kudumisha maslahi ya kikundi fulani, kundi fulani katika nchi au Taifa fulani..
Wakati mwingine unaweza kutumika bila wewe kujijua.. Kutumika ni pamoja na kutoa taarifa za kawaida ambaza kwako zinaweza zisiwe za maana lakini kwa unayempa zinamsaidia hasa katika mazungumzo ya kwenye 'kinywaji' n.k..
Pia ni vizuri kufahamu kuwa hata Taasisi kubwa za kibiashara au viwanda vikubwa vyenye mitandao duniani wanazo idara zao za ujasusi..
 
h
Wakuu naomba MSAADA wenu natamani Sana nijiunge na TISS ila sijui jinsi ya kujiunga kwa yeyote anae weza nisaidia anisaidie ASANTE.

hii ndo kazi ngum na mbaya kuliko zote Duniani..... ni nzr kwa sifa ila ni mbaya kwa utekelezaji.....

nliwahi kusema hii hata kama nitaambiwa kwamba njoo ufanyekazi kwa kwel ntakataa bila hata kukilia....

kitu ambacho unapaswa kujua hii ndo kazi hutapata aman maisha yako yote mpka unaingia kablini..

nakushauri futa hlo wazo.. ni hatari kwa afya yako
 
Idara gani hiyo hamfahamiani? Nyie si ndio mnataka mfahamike kwa nguvu na mikwara yenu ya kwamba unanijua mimi ni nani? Mkija na lugha hizi zisizo na ungwana kwangu nahakikisha nakutoa ngeo ukawasimulie wenzako huko kijitonyama
Ila wahuni wa singeli sio watu, Leo magufuli na ubabe wake wote wahuni wamempigisha magoti.

Last time walimchezesha singeli.
 
Back
Top Bottom