Ni kweli uwepo wa Pyramids bado ni kitendawili hapa duniani ama kuna siri imefichwa?

Kwahiyo hata kazi ya haya mapiramidi bado haijafahamika
Zinafahamika na wanafizikia nguli ila wameuchuna fyuuu
Matacore yao,
Hivi unadhani Nikola Tesla aligundua huu umeme wa AC idea alipata wapi?

Jamaa ali calculate Mathematics kali zilizokutwa kwenye Moja ya madesa ya kale ya Khemet ndio akaja na hili jini la TANESCO,
Mosi Tesla alikiri Pyramids ni Ancient power plant tena wireless transmission yaani kudadeq hakuna manyaya wala makebo kitu kinasafiri kama mawimbi yaani imagine leo simu yako inajichaji bila umeme wa nyaya mawimbi kama WIFI wewe huogopi?

Akaenda mbali akasema soon Dunia nzima itautumia huo umeme bureee
N akapiga mikwara kwamba akimaliza kufanya tafiti zake baadae watu hatutatumia ndege,magari wala punda kusafiri yaani tuta telepathy ile fyuu kama vigagula 1 second upo mwanza to Dar
Dar to New York,
New York to bangkok
Wakina Thomas Edison watengeneza nyaya na kina ford wakaona isiwe kesi mosi wakachoma maabara yake ya utafiti akapoteza formula walivyoona ni unstoppable wakampeleka kwa JEHOVAH mashetani wale leo hii hawa
TANYESCO walitukatia umeme wasingekuwepo
Shabhaaash!
Anyway kazi ya pyramids ilikua Energy power plant za Anunnak!
 
Moja ya msemo wake aliwahi kusema
"The present is theirs; the future, for which I have really worked, is mine"
 
Nyingine pyramid zipo mexico
 
Critical thinking
 
Daaah broo unatuletea verse ya Nas au sio😄😄.. Anyway, I know I Can
 
Point of correction, Alexander the great alikuwa Mgiriki na sio Roman. Utawala wa kigiriki kule Misri ulifika tamati kipindi cha Cleopatra vii baada ya kuangushwa na majeshi ya warumi wakiongozwa na Caesar Augustus mtoto wa kuadapt wa Julius. Wakati huo hayo mapyramid yalikuwa na miaka zaidi ya 2000 yamesimama, inshort hata warumi na wagiriki walijiuliza maswali hayo hayo tunayo jiuliza leo kuhusu hizo pyramids na hawakuwa na majibu.
 
Naeza kukuelewa
 
Wewe utakuwa siyo wa kawaida, hata hili nalo unalijua? Except tu ni kwamba hakuna uhakika kama waliowahi kufanya hivyo ni Annunaki, ukizingatia kuwa Annunaki ni watu wambao siyo halisi, ni imaginary. Inahisiwa tu kuwa waliwahi kuwepo Annunaki ila uhakika haupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…