Bususwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 468
- 1,116
Mkuu wa Wilaya ya kinondoni!Jordan Lugimbana alikuwa kiongozi wa mbio za mwenge mwaka 2001 alilala Liparamba, miaka ya karibuni aliwahi kuwa mkuu wa wilaya moja Dar es salaam bado Yuko hai japo Kwasasa simsikii, Hizo stori za vijiweni tuu.
Baadae Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Baadae Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, safari ikaishia pale,nadhani walipishana kauli na Mzee Magufuli
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app