Mkuu wa Wilaya ya kinondoni!Jordan Lugimbana alikuwa kiongozi wa mbio za mwenge mwaka 2001 alilala Liparamba, miaka ya karibuni aliwahi kuwa mkuu wa wilaya moja Dar es salaam bado Yuko hai japo Kwasasa simsikii, Hizo stori za vijiweni tuu.
Tupe mifano ya watu waliokufa hivyo.yaani story ziko hivyo kwamba.
anayekimbiza mwenge lazima afe hakai siku nyingia
anayeweka msalaba pale juu ya mnara wa kanisa nayeye huwa anakufa tena kwa kuanguka vibaya,labda wawe wamerekebisha tayari.
na hawa wajenzi wa ikulu nao.
sema dunia ndogo sana hii sio ya kubisha kila kitu au kukataa kila kitu.
Akili za great thinkerKuna story nishawahi kuzisikia kuhusu Ikulu, kama zina ukweli wowote naomba kujuzwa hapa
1. Ikulu Kuna njia ya chini kwa chini mpaka Makao makuu ya jeshi
2. Wote wanaohusika kwenye ujenzi wa ikulu wakimaliza wote wanauawa wanazikwa getini pale ikulu
We ushaisikia ipi? na je zina ukweli?View attachment 2256011
Kwahiyo hapo wanachimba hadi bahari ya Hindi?Niliwahi kusikia pia,
Eti kuna njia ya kutokea baharini
Dah! Hyo tenda mliipataje asee, au mwenye hiyo Kampuni ni mtu mzito huko serikaliniHamna kitu kama hicho.
Mwaka juzi nilikua kwenye kampuni moja ya mambo ya umeme,tulipata tender kufanya marekebisho ya system za umeme wa ikulu ya magogoni.tuliingia mle fresh tu,sema week moja kabla ya kazi tulikutana n watu wa usalama, wakatufanyia na kutueleza utaratibu wa mle ndani.walitupa vitambulisho maalumu.sema ile sehemu iko very protected aisee..nadhani hata wachawi mle hawaingii kuroga.
Hata mimi nikiwa mdogo niliwahi kusikia hata wale wajenzi wa benk kuu na walikuwa wanauliwa baada ya ujenzi, baadae nikaambiwa mkandarasi wa benki kuu uwa hapewi ramani/mchoro mzima anapewa vipandevipande na akifika eneo fulani anapotezwa kiaina anatafutwa mwingine mpk mjengo unakamilika unakuta mainjinia zaidi ya 20 huku wale waliojenga sehemu nyeto wakifa vifo vya kawaida visivyo na shaka kwa jamii na familia zao;imeisha hiyo[emoji23][emoji23][emoji6]Kuna story nishawahi kuzisikia kuhusu Ikulu, kama zina ukweli wowote naomba kujuzwa hapa
1. Ikulu Kuna njia ya chini kwa chini mpaka Makao makuu ya jeshi
2. Wote wanaohusika kwenye ujenzi wa ikulu wakimaliza wote wanauawa wanazikwa getini pale ikulu
We ushaisikia ipi? na je zina ukweli?View attachment 2256011
Vip wale wa dodoma walishauliwa au?Kuna story nishawahi kuzisikia kuhusu Ikulu, kama zina ukweli wowote naomba kujuzwa hapa
1. Ikulu Kuna njia ya chini kwa chini mpaka Makao makuu ya jeshi
2. Wote wanaohusika kwenye ujenzi wa ikulu wakimaliza wote wanauawa wanazikwa getini pale ikulu
We ushaisikia ipi? na je zina ukweli?View attachment 2256011
Niliwahi sikia pia.Niliwahi kusikia pia,
Eti kuna njia ya kutokea baharini
Nilisikia hivyo mkuu, kua kuna emergence exit ipo huko.Kwahiyo hapo wanachimba hadi bahari ya Hindi?
Japo siwezi kupinga kuwepo kwa hiyo emergence exit, lakini ya kuelekea baharini sio lazima ndio maana nikauliza kama na ya Dodoma wanaweka emergence exit kuelekea Bahari Hindi!Nilisikia hivyo mkuu, kua kuna emergence exit ipo huko.
Mi nimeongelea ya magogoni na nadhani nadharia nyingi kwenye huu uzi zimebase kwenye hiyo ya magogoni na sio hiyo mpya ya dodoma.Japo siwezi kupinga kuwepo kwa hiyo emergence exit, lakini ya kuelekea baharini sio lazima ndio maana nikauliza kama na ya Dodoma wanaweka emergence exit kuelekea Bahari Hindi!
Niliwahi pata nafasi yakuingia Ikulu ya dodoma,nipakubwa sana mle ndani,hadi ufike Ikulu kwenyewe unavuka mageti hadi matatu! Na ni mwendo kweli kweli mle ndani,bila ya motokaa ni ngumu sana!Japo siwezi kupinga kuwepo kwa hiyo emergence exit, lakini ya kuelekea baharini sio lazima ndio maana nikauliza kama na ya Dodoma wanaweka emergence exit kuelekea Bahari Hindi!