Ni kweli wanaojenga Ikulu huwa wanauliwa wakishamaliza kujenga?

KISIWAGA hata mimi nakumbuka ile siku tuliuawa tukazikwa pale getini. Aisee mpaka leo sitaki kazi ikulu tena.
Kokote duniani Principle ya wana Usalama ni moja tu haijabadilika na haitokuja kubadilika kamwe kuwa Ukisaliti ndani ya Idara au Taasisi Kifo ( Kuuwawa ) ni lazima na hakuna 'Agent' asiyelijua hili na hata hapa Kwetu nchini Montenegro tumeshaona Mifano kadhaa kwa Wahusika.
 
Jamaa kauliza kiroho safi kupata uhakika ,na kama ni kweli ajue kuna yapi mengine , na kama ni uongo pia ajue, cha
Kushangaza we unamjia juu kwa mashutumu na kejeli....
 
Kwa satellites zote angani kuna siri gani hapo mpaka usababishe vifo vya watu waiokuwa na hatia?
 
hahahaha,namjua mtu/watu waliokimbiza mwenge,wakapewa ukuu wa wilaya na wako hai,
dodoma kn vijbna jkt wamejenga ikulu wako hai
 
Inawezekana ni kweli!! Itakuwa ni mazindiko ya sisiemu! Hilo chama na uchawi ni chupi na tacor
 
Mkuu wa Wilaya ya kinondoni!

Baadae Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Baadae Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, safari ikaishia pale,nadhani walipishana kauli na Mzee Magufuli

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
...Hivi Huyu Bwana Àliishia Wapi? Nilisoma zamani na Dada yake Georgina Rugimbana ..na Yeye alikuwa Mtoto TU pale Chang'ombe P/School.
 
Jamaa kauliza kiroho safi kupata uhakika ,na kama ni kweli ajue kuna yapi mengine , na kama ni uongo pia ajue, cha
Kushangaza we unamjia juu kwa mashutumu na kejeli....
...Angetumia Akili yake TU angepata jibu! Apunguze kusikiliza Stori za Vijiweni!
 
Hata mimi nimesikia kuna barabara chini ya bahari tokea dar mpaka marekani.
 
Hii iliwatokea sana wajenzi wa ma'pyramid' mara baada ya farao husika kuzikwa! ... maana mafarao walikuwa wanazikwa na hazina kubwa sana kiasi ambacho mjenzi, japo amejazwa hofu nyingi za kishirikina, anaweza kujaribu kubomoa kaburi na kuiba mali za mfalme na kumfanya lofa katika maisha yake ya ahera! 😅
 
BM x6 huo ni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…