Ni kweli wanaojenga Ikulu huwa wanauliwa wakishamaliza kujenga?

Unataka kusema haya majumba maarufu ya nchi yana mambo ya giza na kishetani ndani yake?
 
Hayo mambo yalikuwepo enzi za Ujenzi wa Castles/Ngome za Wafalme huko Uingereza, China, mfano wengi waliojenga The Great Wall of China walikufa, Kwa nyakati hizi sidhani maana huenda wenaofahamu ramani halisi ni wachache na mafundi mfano hao JKT wanaishia kuwa wabeba tofali, zege n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…