Ni kweli Wanawake wana akili kuliko wanaume wengi. Kwa sababu zifuatazo…

Ni kweli Wanawake wana akili kuliko wanaume wengi. Kwa sababu zifuatazo…

Wanawake wamevumbua kitu gani ?? Maana man-made zote anafanya mwanaume

Uliwahi kukutana na Magenius hata Darasani?

Uliwahi kuona wanawake hata humu wakibishana?

Uliwahi kuona wanawake wakianzisha nyuzi humu?

Unajua ni kwa nini wanawake wanapenda kutokuwa inactive?

Usijesema wanawake hawajui tunayoyajua. Utakuwa unajidanganya Sana.

Wanawake kama viumbe smart wao husikiliza zaidi kuliko kuongea.
Hujifanya wanaaibu lakini hawana hizo aibu. Hizo ni tricky tuu.

Na ukiongea Jambo lolote mwanamke anaweza kukadiria uwezo wako wa uelewa na akili.

Ukiona mwanamke hadanganywi kwa kukosa akili Bali anadanganywa kwa sababu ya kupata faraja, furaha ya muda, kufuata hisia zake, fantasy n.k.
 
Upo na Mimi kabisa.
Nasoma huku nikijiuliza huyu ameyajua vipi ya wanawake au yeye ni mwanamke pia.Siri ya binadamu anaijua yeye mwenyewe lakini haya kayatoa wapi?
Basi tuseme ndugu yetu ni Alien

Sio Kila Jambo linalosemwa halijulikani ni kweli halijulikani kwa watu wote.
Wapo wanaolijua fika
 
1.Mwanaume ni mwanaume na mwanamke ni mwanamke - HUWEZI WALIGANISHA.
Wanawake na wanaume wote ni watu.
Kama kuna tofauti hazizidi 20% kwa hiyo unaweza kuwalinganisha.

2.Kwa ulioandika yote hapo kuhusu wanawake kwa ujumla ni kama umesema: WANAWAKE NI WABINAFSI.
Ukishakuwa na Akili ubinafsi hauepukiki Mkuu.
Standards ndio wengi huziita ubinafsi.

Mwanamke kama huna tija kwake hawezi kukuweka karibu. Na ndivyo maisha yanavyotaka hivyo.

Sisi wanaume tunasambaza upenfo, tunajua maisha hapa duniani yanapita tu na hizo ndo akili sasa.We dont accumulate for our behalf.Tunarudisha kwenye jamii kwa kupitia watoto wetu, familia zetu, wake zetu, marafiki, watu baki n.k.Tunajua maisha hapa duniani kuna faida kwenye kutoa, kuliko kupokea..na ndo maana hata licha ya sifa ulizowapa watu waliofanikiwa wengi ni wanaume na hii kwenye nyanja zote..kuanzia Siasa, uongozi, biashara, makampuni, ubunifu etc...sisi sio wajanjawajanja sisi tunadeliver

Upendo unakanuni zake.

Chakwanza jipende were(kuwa mbinafsi)
Pili, Wapende watoto wako,
Tatu, wapende Wazazi wako.
Nne, mpende mkeo/mumeo

Mwisho wapende wanaostahili kupendwa. Wenye tija kwako na wanaothamini upendo wako.
Hizo ni kanuni wanawake wanazitumia Sana.
Na Alpha Male, yaani wale wanaume wenye mifumo ya kiume, kiutawala.
 
Ukitaka kujua hivyo.
Wewe Fanya Jambo la kijinga mbele ya mwanamke uone reactions zake..
Kisha Fanya Jambo hilohilo kwa wanaume alafu pima reactions zao.
Hahaha kweli , lazima wachukue tahadhari na kukuweka kwenye red flag, ila sisi tutapotezea tu na kuchukulia kawaida tu😅


Hakuna kichaa wa kiume anaeweza mtungisha mimba mwanamke timamu ila wapo vichaa wa kike wametungishwa mimba na wanaume timamu 🤣🤣
 
Umesahau kitu kimoja tuu,

1. Wanawake ni watu wanapenda sifa. Ukimsifia waweza tunukiwa mpaka tobo la Kwa mpalange.

2. Pia wanawake wanapenda kubembelezwa kama watoto ukimbembeleza vzr, anakuachia mwili wake wote na utaufanya utakavyo.

1. Mwanamke hakupi uchi au pesa kwa sababu umemsifia au unajua kuchombeza.
Au umempa pesa.
Kwa mwanamke chakwanza ni Jicho la kihisia.
Mwanamke hata kabla hujamsifia akikutazama tuu anajua mwanaume aliyesimama mbele yake ni mwanaume anayeweza kumvulia chupi.

2. Sio muda wote wanawake wanataka kubembelezwa.
Wanawake hupenda extraordinary things . Vitu ambavyo hajavitarajia.
Kubembeleza asilimia 30% alafu mikazo 70%.

Kubembeleza kwa wanawake mara kwa mara nu kuonyesha weww huna thamani, huna plan B, huna chakufanya, umwoga wa kuachwa. Unataka validation n.k.

Ukibembeleza mara chache Sana mwanamke anajua unajali, wewe mwanaume mwenye kujua nini unafanya, huna. Hofu ya kuachwa kwani Una options, hutafuti validation n.k
 
Hahaha kweli , lazima wachukue tahadhari na kukuweka kwenye red flag, ila sisi tutapotezea tu na kuchukulia kawaida tu😅


Hakuna kichaa wa kiume anaeweza mtungisha mimba mwanamke timamu ila wapo vichaa wa kike wametungishwa mimba na wanaume timamu 🤣🤣

Wanaume wapo emotional kwenye suala la ngono.
Wakati wanawake kwao ngono ni silaha
 
Sio Kila Jambo linalosemwa halijulikani ni kweli halijulikani kwa watu wote.
Wapo wanaolijua fika
Inawezekana ilikujuta Jambo kwa Hawa viumbe.

Nilikutana na mama kwenye bajaji naweza kumuita mama sababu ya umri wake ni 60+

Nilimuuliza Dunia yenu na ya Sasa ipi ni nzuri alijibu Ile ya kwetu ilikuwa haina usafiri Wala barabara nzuri kama hivi lakini tulikuwa tunaishi Kwa amani.

Hata kwenye kuoa unauliza nyumba kwanza na magonjwa ya Ile nyumba.Binti hawezi kukataa mwanaume anayetaka kumuoa maana ilikuwa ni furaha.

Akasema mabinti wa Sasa hawana akili kabisa wanadanganywa na Maisha haya ambayo hayana ukweli.
 
Kuna mtu kapewa maagizo na maandiko
" Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe"

Go against nature..

Chombo dhaifu utakaa nacho kwa akili?

MTU pekee unayeweza kumnukuu akielezea habari za wanawake kwenye Bible ni Aidha Suleiman, Daudi na wanaume wote waliokuwa na Wake wengi au Playboy's
 
Inawezekana ilikujuta Jambo kwa Hawa viumbe.

Nilikutana na mama kwenye bajaji naweza kumuita mama sababu ya umri wake ni 60+

Nilimuuliza Dunia yenu na ya Sasa ipi ni nzuri alijibu Ile ya kwetu ilikuwa haina usafiri Wala barabara nzuri kama hivi lakini tulikuwa tunaishi Kwa amani.

Hata kwenye kuoa unauliza nyumba kwanza na magonjwa ya Ile nyumba.Binti hawezi kukataa mwanaume anayetaka kumuoa maana ilikuwa ni furaha.

Akasema mabinti wa Sasa hawana akili kabisa wanadanganywa na Maisha haya ambayo hayana ukweli.

Huyo Mama ni mongo.

Dunia ya sasa ndio iko vizuri ingawaje transition hii ndio inafanya watu waone dunia ya zamani ni Bora

Wanawake wa zamani walifanywa watumwa. Hawakufanywa watu.

Mwanamke ni MTU kama wewe.
Anautu wake.
Udhaifu wao WA kimwili, kutokuwa na nguvu za misuli ndio vilitumika kuwaonea
 
Chombo dhaifu utakaa nacho kwa akili?

MTU pekee unayeweza kumnukuu akielezea habari za wanawake kwenye Bible ni Aidha Suleiman, Daudi na wanaume wote waliokuwa na Wake wengi au Playboy's
Bible ziliandikwa na wanaume na zimejaa maneno mengi ya kujifariji mbele ya mwanamke lakini kwenye uhalisia haiko hivyo wanaume ndio Wana toil 😂😂

Mwanamke aliona hana Nguvu za mwili akaamua kutumia akili kukabiliana na wenye Nguvu za mwili ila wana akili kiduchu.

Ndio maana wamefanikiwa Hadi kufanya lobbying Hadi kwenye mfumo wa sheria ambao Sasa unaware favor wao.
 
Back
Top Bottom