ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Unajua kupangilia mada zako kaka angu Nita bolt nikutumie kishumba popote ukipo😄😄🙌🏼
Unajua kupangilia mada zako kaka angu Nita bolt nikutumie kishumba popote ukipo😄😄🙌🏼
Unajua kupangilia mada zako kaka angu Nita bolt nikutumie kishumba popote ukipo
✅️ subiriKishumba cha viazu na maharage hunitoi
✅️ subiri
Ila sasa wake zako hawataniroga😢
Mie nikamfanye nini sasa😄Nitakupa mmoja uondoke naye🤓
Mie nikamfanye nini sasa😄
Sio kweli, hapa kidogo tumepishana uelewa nitakupa sababu ila ndani ya sababu kuna sababu zingine kadhaa, kwa mukhtadha uliopo na ulioelezea unapokuja kwenye suala la akili inabidi uanze upya kutafakari na kufikiria, kwa sababu wanawake na wanaume kinachowatofautisha sana sio akili tu peke yake bali ni namna ya kufikiri, ukiaji wa kiakili hapa utazingatia zaidi utunzaji wa kumbukumbu [ubongo] na uamuaji wa mambo au jambo fulani fulani [decision making], mwanaume anafanya mambo yake kwa hatua hakurupuki ila tofauti ni kwamba mwanamke hapendi kutumia hatua hatua nyingi kwenye kuamua mambo au jambo, yeye mwanamke anapenda km jambo linatakiwa kufanyika au kufanyiwa maamuzi basi lifanyike kwa haraka na matokeo yaonekane papo kwa papo in short ni mpenda masuala ya muujiza muujiza, zipo sababu nyingine nyingi ndani ya hio sababu ila acha niiache hio moja itakutosha kutafakari vizuri je ulichosema kina ukweli ndani yake?2. Huwezi kukielewa kitu au mtu aliyekuzidi akili. Huo ni ukweli.
Mkuu mimi ni ke jamani😄😄😄 Nimekupa kama zawadi utajua chakumfanya mwenyewe.
Mkuu mimi ni ke jamani
Ukinipa mkeo mmoja
Gwajima hata niacha salama😄
Mie ndoa sitakiOoh! Jamani pole sana. Kumbe ni Ke.
Basi acha nikuongeze kwenye list ya Wake zangu. Hapo nitakutendea haki yako kama mwanamke. Pole sana.
Niambie tuu unahitaji nini ili mambo yasiwe mengi
Mie ndoa sitaki
Nipo na team ya kataa ndoa 👍
Okoa afya yako ya akili
Wow kumbe naweza kupata mtu sahihi🥹Hakuna kitu kitamu dunia hii kama ndoa.
Ukihitaji Mtu sahihi usisahau kunijuza. Naweza kukusaidia
yeah, nakumbuka kuna feminist fulani mtoto wa aliyekuwa mkubwa fulani niliwahi kutoka naye enzi hizooo,,, off course kichwani zipo mno...alikuwa anajua vingi na exposure ilikuwa ni kubwa. lakini nilimla mara kibao just like other cheapy girls... na hela alikuwa anapiga mizinga kwa mzee wake ili anipe... mzee wake angejua sijui ingekuaje. Imagine anapiga mziga wa 5M ili anipie mimi... nilikuwa play boy mno in my 20's. but namtakia good life na sina tatizo nayeNi simple Sana wanawake kama umewazidi Value na akili.
Sababu ya kumjua kiundani kiumbe kilichoumbwaKaka kwanini Alien 😄
Wewe ndio umesema ajabu mwanamke huyo ndio anaongoza Taifa.Huyo Mama ni mongo.
Dunia ya sasa ndio iko vizuri ingawaje transition hii ndio inafanya watu waone dunia ya zamani ni Bora
Wanawake wa zamani walifanywa watumwa. Hawakufanywa watu.
Mwanamke ni MTU kama wewe.
Anautu wake.
Udhaifu wao WA kimwili, kutokuwa na nguvu za misuli ndio vilitumika kuwaonea
Ni kweli kuna mdada mtaani anazigo nilimramba kisa kumsifia tu kila nikikutana nae. Nalisifia zigo hadi anajisikia aibu.Umesahau kitu kimoja tuu,
1. Wanawake ni watu wanapenda sifa. Ukimsifia waweza tunukiwa mpaka tobo la Kwa mpalange.
2. Pia wanawake wanapenda kubembelezwa kama watoto ukimbembeleza vzr, anakuachia mwili wake wote na utaufanya utakavyo.
Wangekuwa na akili Mungu angewaweka vichwa vya familia
Mkuu hapo kwenye kupiga mti tu. Hawa si wakuwahurumia ukiwa nao kitandaniSasa wewe danganya wenzako kwamba Ukiwa huna pesa wamchombeze mwanamke hata kama mwanaume hana shughuli kamili kitandani hiyo ni kazi Bure.
Mwanaume achana na hizo drama focus kwenye mambo yafuatayo
-Kudanganya(wanawake wanaopenda sana)
-Kupiga miti Hadi miguu iume(silaha kubwa kwako ,mwanamke atakuwa anakuangalia hakumalizi Kila amri anatii)
-Pesa (kulinda Heshima Yako,akikuzidi pesa umekwisha unless unampiga miti ya uhakika)
-Ignore na kumfokea (ndio wanatafsiri uanaume japo sio mbele ya watu ila Kwa watu wengine ukiwafanyia ume win.)
Mwisho Naunga mkono hoja Kwa asilimia 50 🤣🤣
Nakazia hapaHizo point zako zote zime base kwenye communication skills na emotion intelligence, ni sawa wanawake wapo vizuri zaadi kwenye hzo angle ila dunia inajengwa na logical thinkers, survivla strategies ya muhimu ni mtu anaye fikiria logic ni wanawake wachache sana wenye sifa hzo, sisemi hivi kuwa undermine wanawake ila huo ndio ukweli