Ni kweli Wanawake wana akili kuliko wanaume wengi. Kwa sababu zifuatazo…

Ni kweli Wanawake wana akili kuliko wanaume wengi. Kwa sababu zifuatazo…

Emotional Manipulation/Intelligence, wanawake wana huu uwezo kuliko wanaume wengi.

Ukiangalia akili kama uwezo wa kupata matokeo makubwa kwa kutumia nguvu kidogo, katika hili wanawake hawana mpinzani.
Sasa mkuu, mwanamke unamuita kwa nauli yako, anakuja anakula na kunywa kwa pesa yako bado kama gest na usafiri wa kwenda huko unalipa wewe.Unaenda kupiga zigo wewe ndo unatakiwa uliliridhishe bado mkiachana hapo utampa pesa ya nauli na nyingine ya kumshukuru kwa kukutumia. Wanawake viumbe wa ajabu ujue.
 
mtu akiwa tu mmbea au msengenyaji me namuona hana akili na tafiti zinaonyesha wao ndo wambea sana wakiwa 10 akiondoka mmoja tu tayari ashaanza kusemwa akiondoka mwingine tena anasemwa..japo na wanaume pia wambea ila wso wamezidi.so in my conclusion sifa ya kwanza ya mwanamke ambaye ana akili asiwe na marafiki wengi wa kike wa kufanya nao umbea
'ONDOKA USEMWE'. HII SAHIZI IKO JINSIA ZOTE MKUU.
 
Sasa kutembea na magoti ndio unawazidi Akili?

Mfano ulioutumia unaashiria kabisa wamekuzidi upeo na akili.
Wewe mwenzako anaigiza kukupigia magoti were unamtumikia miaka yote ye kama mfalme. Unampa Kodi kama serikali. Unamvalisha, unamlisha na bado sio ajabu watoto sio wako.
Mkuu naona sasa unawakejeli na sio kuwasifia kama nilivyodhani, unasema wanawake hawaishi katika uhalisia bali ni waigizaji katika maisha,
pili umesema wanawake sio wazuri katika kutoa bali ni wazuri katika kupokea, yaani wavivu wavivu wengi wao wanaolewa tu ili wapate nafuu ya maisha kwa kumpa majukumu yao mwanaume, tena umesema wanawake ni wathaliti na waongo waongo wanaweza hata kutubambikia sisi wanaume watoto ambao sio wetu!
kumbe maisha ndo yapo hivyo siku hizi! wale wenye sifa mbaya ndo wana akili nyingi?
 
Mkuu naona sasa unawakejeli na sio kuwasifia kama nilivyodhani, unasema wanawake hawaishi katika uhalisia bali ni waigizaji katika maisha,
pili umesema wanawake sio wazuri katika kutoa bali ni wazuri katika kupokea, yaani wavivu wavivu wengi wao wanaolewa tu ili wapate nafuu ya maisha kwa kumpa majukumu yao mwanaume, tena umesema wanawake ni wathaliti na waongo waongo wanaweza hata kutubambikia sisi wanaume watoto ambao sio wetu!
kumbe maisha ndo yapo hivyo siku hizi! wale wenye sifa mbaya ndo wana akili nyingi?

😂😂😂

Mkuu Mimi nimeongeauhalisia.
Nitakupa mfano,
Aliyekuchukua utumwani umfanyie kazi na umtumikie wewe umekaa tuu au unafanya vitu vidogodogo na wewe unayetumika nani yupo Smart?

Pili, Aliyebuni Mashine ya Kusindika au kutwanga mahindi, au kufulia. Yeye anakaa tuu anaendelea na mambo mengine mepesi. Alafu kuna wewe unayevuja jasho kutwanga mahindi upate unga au mahindi ya makande, au kufua Kwa mkono.
Nani yupo Smart?

Kazi ya akili ni kurahisisha maisha.
Kazi ya akili ni kutumia resources zingine kutatua matatizo yako.

Ndio maana mwanamke ni msaidizi kwa mwanaume.
Lakini ukiona ni mzigo ujue kuna sehemu akili yako imefeli.

Ukiona mwanamke ni tegemezi kwako, anakufanya mtumwa wake. Ujue amekuzidi akili
 
🤓🤓
Kitu pekee nilichojifunza kwa Wanawake hawawezi kuishi na mtu wasiyefaidika naye.
Kanuni hii inatumiwa na watu wote wenye Akili.
Ingependeza ungebainisha au kui-define "FAIDA" ni nini?
Katika muktadha wa kijamii na sio kiuchumi pekee.

PILI...
Hata wanaume pia hawawezi kuishi na mwanamke wasiyefaidika naye. (ukitulia vizuri utalinotice hilo)

Nguvu ya mwanaume ipo kwenye mambo makuu matatu (3), MONEY, POWER & SEX.
Na hizo ndo sehemu kuu 3 ambazo mwanaume anataka afaidike nazo.

Hivyo mwanaume ata-swing na mtu au kitu chochote kinachoweza kumfaidisha kwenye kati ya hivyo vitu vikuu vitatu (3) hapo.

Ukiona mwanaume anatoa mali (pesa, vitu vya thamani) kumpa mwanamke from nowhere tu, basi ujue mwanaume anataka afaidike kwa starehe ya kingono hapo baadae (again, MONEY, POWER & SEX) au kwa faida zingine kama familia, utulivu wa nafsi, hisia chanya, a sense of well being, etc.

Mwanaume akitulia na akiona hawezi kufaidika huwa hatoi pesa.

Kila mtu anatoa kile alichonacho ili apate kile asichokuwa nacho.

MWANAUME ATATOA PESA, ili apate SEX.. MWANAMKE ATATOA SEX ili apate PESA.
👆🏽
Jamii zetu zimejenga mindsets mbili za KIUCHUMI na KINGONO katika hivi..
👇🏽
KIUCHUMI (economically) , Men ni giver, na women ni given....
KINGONO (sexually)., Women ni giver, Men ni given.

So, even wanaume hawatoki tu na mwanamke wasiyefaidika naye, au ambaye wanaona hawatofaidika naye baadae kwa namna yoyote.


My take, haya mambo ni kama UWEKEZAJI pia ni kama MIKATABA tu, kila mtu ndiye anayejua anafaidika vipi (ukitulia vizuri utajua faida sio lazma iwe uchumi tu, faida ni neno broad sana, faida can be raha, starehe, utulivu, amani, hisia nzuri, nk. kwa muktadha wa kijamii)


narejea, haya mambo ni kama UWEKEZAJI au MIKATABA ya pande mbili, kila mmoja anapoingia huwa anazo faida zake alizozi-target.

Mwanamke kuna vitu atavihitaji kwa faida yake, na mwanaume pia naye kuna vitu atavihitaji kwa faida yake. (a win-win partnership)

Unless otherwise mtu aingie kwa kulazimishwa.


Nahitimisha... Hata mwanaume hawezi kuishi na mwanamke asiyefaidika naye.
(faida inaweza kuwa defined katika nyanja nyingi, sio kiuchumi tu pekee)
 
Unafananisha Arsenal na timu ya pamba fc

Mwanamke hawezi mfikia mwanaume kwa akili
 
Screenshot_20260329_094027_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom