Ni kweli Wanawake wana akili kuliko wanaume wengi. Kwa sababu zifuatazo…

2. Huwezi kukielewa kitu au mtu aliyekuzidi akili. Huo ni ukweli.
Sio kweli, hapa kidogo tumepishana uelewa nitakupa sababu ila ndani ya sababu kuna sababu zingine kadhaa, kwa mukhtadha uliopo na ulioelezea unapokuja kwenye suala la akili inabidi uanze upya kutafakari na kufikiria, kwa sababu wanawake na wanaume kinachowatofautisha sana sio akili tu peke yake bali ni namna ya kufikiri, ukiaji wa kiakili hapa utazingatia zaidi utunzaji wa kumbukumbu [ubongo] na uamuaji wa mambo au jambo fulani fulani [decision making], mwanaume anafanya mambo yake kwa hatua hakurupuki ila tofauti ni kwamba mwanamke hapendi kutumia hatua hatua nyingi kwenye kuamua mambo au jambo, yeye mwanamke anapenda km jambo linatakiwa kufanyika au kufanyiwa maamuzi basi lifanyike kwa haraka na matokeo yaonekane papo kwa papo in short ni mpenda masuala ya muujiza muujiza, zipo sababu nyingine nyingi ndani ya hio sababu ila acha niiache hio moja itakutosha kutafakari vizuri je ulichosema kina ukweli ndani yake?
 
Ni simple Sana wanawake kama umewazidi Value na akili.
yeah, nakumbuka kuna feminist fulani mtoto wa aliyekuwa mkubwa fulani niliwahi kutoka naye enzi hizooo,,, off course kichwani zipo mno...alikuwa anajua vingi na exposure ilikuwa ni kubwa. lakini nilimla mara kibao just like other cheapy girls... na hela alikuwa anapiga mizinga kwa mzee wake ili anipe... mzee wake angejua sijui ingekuaje. Imagine anapiga mziga wa 5M ili anipie mimi... nilikuwa play boy mno in my 20's. but namtakia good life na sina tatizo naye
 
Wewe ndio umesema ajabu mwanamke huyo ndio anaongoza Taifa.

Wee jamaa bana
 
Umesahau kitu kimoja tuu,

1. Wanawake ni watu wanapenda sifa. Ukimsifia waweza tunukiwa mpaka tobo la Kwa mpalange.

2. Pia wanawake wanapenda kubembelezwa kama watoto ukimbembeleza vzr, anakuachia mwili wake wote na utaufanya utakavyo.
Ni kweli kuna mdada mtaani anazigo nilimramba kisa kumsifia tu kila nikikutana nae. Nalisifia zigo hadi anajisikia aibu.
 
Mkuu hapo kwenye kupiga mti tu. Hawa si wakuwahurumia ukiwa nao kitandani
 
Nakazia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…