Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila ya Tanzania?

Ningekukosa hapa ningeshangaa sana 😹😹
Mtaalamu wa sauti za chumbani..!!
 
Ndio mi mmakonde we mkichogo
😹😹😹 Ndiomana unapenda kuchekeshwa..!!

Nasikia dada zako si haba kwenye kwichy, vipi upande wenu kaka zao?

Nijibu taratibu sijisikii vizuri leo..! 😹
 
😹😹😹 Ndiomana unapenda kuchekeshwa..!!

Nasikia dada zako si haba kwenye kwichy, vipi upande wenu kaka zao?

Nijibu taratibu sijisikii vizuri leo..! 😹
We madaqo kweli 🫡πŸ«ͺ
Wakaka ndio tuna nguvu ya ardhi lazima uiskilizie kwenye mizagamuo
 
We madaqo kweli 🫡πŸ«ͺ
Wakaka ndio tuna nguvu ya ardhi lazima uiskilizie kwenye mizagamuo
😹😹😹 Nyie mnalilia mapenzi bhana..!!
Role model wenu Konde boy kawawakilisha..!!

Jeshiiiiiiiiiiiii 😹
 
😹😹😹 Nyie mnalilia mapenzi bhana..!!
Role model wenu Konde boy kawawakilisha..!!

Jeshiiiiiiiiiiiii 😹
Jeshi kazi kukohokohoa show kali ndio maana unaona Kajala type shit anamrudia sijui unanielewa 😁
 
Jeshi kazi kukohokohoa show kali ndio maana unaona Kajala type shit anamrudia sijui unanielewa 😁
Thubutuuuu..!! 😹😹
Wamakonde wajinga kabisa, mshukuru dada zenu wanawawakilisha la sivyo mngeishia kuchonga vinyago Mwenge..!! 😹
 
Thubutuuuu..!! 😹😹
Wamakonde wajinga kabisa, mshukuru dada zenu wanawawakilisha la sivyo mngeishia kuchonga vinyago Mwenge..!! 😹
Aibu unaona wewe na kakabila kako unaogopa hata kukataja unajua viuno vigumu 🫡😁
 
Kwendraa ume copy, wasukuma hatunaga watu wajuaji juaji sisi
😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Hivi kuna wajuaji km nyie wasukuma?
Huku kkoo mkija kununua nguo mnasema (Nipe shati la maua la elfu 25) 😹😹

Hata kama shati linauzwa elfu 7 nyie mmekariri mlivyonunua kwa kudanganywa yana bei kubwa..!!

Halafu mkiona bustani ina maua mazuri tayari mnataka kupiga picha na pozi lenu la kukunja nne πŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈ
 
Wadada wa Kilimanjaro wakiongea mimi hoi kabisaπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…