ukijua kubembeleza napita uchi kwenye huu uzi πNjoo nikubembeleze switi hati πΉπΉ
Hii ni bullying ya hali ya juuππΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉ
Hivi kuna wajuaji km nyie wasukuma?
Huku kkoo mkija kununua nguo mnasema (Nipe shati la maua la elfu 25) πΉπΉ
Hata kama shati linauzwa elfu 7 nyie mmekariri mlivyonunua kwa kudanganywa yana bei kubwa..!!
Halafu mkiona bustani ina maua mazuri tayari mnataka kupiga picha na pozi lenu la kukunja nne πββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈ
Lamomy anaonekana wa kishua huyuπ§Tukate viuno si madancer wa Koffi πΉπΉ
Sisi tunawaza kuzichanga chapaaa ndio ujanja πΉ
Umenyoa kwanza kabla ya kupita uchi? πΉπΉukijua kubembeleza napita uchi kwenye huu uzi π
Hizi ni natural hair hamna haja ya kunyoa π labda kama unanipa ndio ntanyoaUmenyoa kwanza kabla ya kupita uchi? πΉπΉ
Sio nakubembeleza halafu ukapita ukatisha waungwana..!!
Story wapi wakati nawaona huku πΉπΉπΉHii ni bullying ya hali ya juuπ
Lamomy umekaririshwa na nini?
Au ndo stori za vijiweni unaleta hapa?
Ningekua karibu yako ninge kumamata makofi Shenjiii ghetteπ
Au sio πΉLamomy anaonekana wa kishua huyuπ§
Kwenda zako kajinyongee sisi tumejipata hatuingizwi mjini kirahisi hao ni wamasai mnawafananisha na mangoshaStory wapi wakati nawaona huku πΉπΉπΉ
Nikikupea utawezana? πΉHizi ni natural hair hamna haja ya kunyoa π labda kama unanipa ndio ntanyoa
Kumbe wewe winga?Au sio πΉ
Hakuna winga wa kishua
Dharau za wazi wazi hizi ππNikikupea utawezana? πΉ
Wanasai hawavai nguo ni nyie bana bhaghosha..!! πΉπΉKwenda zako kajinyongee sisi tumejipata hatuingizwi mjini kirahisi hao ni wamasai mnawafananisha na mangosha
We kabila gani?Wanasai hawavai nguo ni nyie bana bhaghosha..!! πΉπΉ
Umesahau yenye matraco makubwa πΉπΉπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈKumbe wewe winga?
Yale ma madem meupe yanayo kaaga kwenye store sio? Yana subiri wazembe,
Mtanzania πΉWe kabila gani?
Sinaga mzuka nayo mmUmesahau yenye matraco makubwa πΉπΉπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈ
Haya baki mwenyewe alahπΆββοΈπΆββοΈMtanzania πΉ
Lazima uchukie si tunawapiga bei washamba washamba πΉπΉπΉSinaga mzuka nayo mm
Trash kwanza yana njaaπ
Ahsante sana Mtani. π€πππ Enjoy mtani
Acha kisirani ngosha, hujala michembe leo? πΉπΉHaya baki mwenyewe alahπΆββοΈπΆββοΈ