Ni lazima kuna muunganiko kati ya maofisa wa kampuni na matapeli!...

Ni lazima kuna muunganiko kati ya maofisa wa kampuni na matapeli!...

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Siku ya leo,jumatano nilikuwa na mawasiliano na moja ya jamaa yangu kuhusu jinsi gani atanitumia fedha ambayo nilikuwa namdai,wakati tunaongea na kumaliza maongezi baada ya kuambizana niwekee kwenye namba yangu********** ,wakati nasubiri muamala uingie,alinipigia simu kuna ujumbe umetumwa kwake,within the spot,
1000006782.png
 
kuna siku nilitumiwa milioni moja kupitia eatel, ndani ya dakika 20 ujumbe ukaja laki 5 imeingia kwenye acaunt yako na salio milioni moja laki tano elfu 38.

dakika hio hio simu ikapigwa , nikaingalia weee siku pokea , kucheki salio ni milioni ile ile na kilicho kuwepo.

nilistaabu sana , ila kuna namna mitandao wana mahusiano na hao jamaa.
 
kuna siku nilitumiwa molioni moja kupitia eatel, ndani ya dakika 20 ujumbe ukaja laki 5 imeingia kwenye acaunt yako na salio milio moja laki nato elfu 38.

dakika hio hio simu ikapigwa , nikaingalia weee siku pokea , kucheki salio ni milioni ile ile na kilicho kuwepo.

nilistaabu sana , ila kuna namna mitandao wana mahusiano na hao jamaa.
Ujumbe mzuri...but umeandika kwa haraka..typing errors, hebu edit kidogo tuelewe kiongozi
 
Siku ya leo,jumatano nilikuwa na mawasiliano na moja ya jamaa yangu kuhusu jinsi gani atanitumia fedha ambayo nilikuwa namdai,wakati tunaongea na kumaliza maongezi baada ya kuambizana niwekee kwenye namba yangu********** ,wakati nasubiri muamala uingie,alinipigia simu kuna ujumbe umetumwa kwake,within the spot,View attachment 3629730
Hawa jamaa wapo palepale ofisini kwao wanashirikiana na yule mhudunu wa huduma
 
Ujumbe mzuri...but umeandika kwa haraka..typing errors, hebu edit kidogo tuelewe kiongozi
Makusudi siyo error.
Kukwepa litigation , some kind of plausible deniability.
Si unajua nchi chini ya mafisadi, wahuni, mtu wa kawaida huwezi shinda kesi labda uwe tajiri?
 
Hii sio nyie TU, ni watu wote Nchi TZ, pesa ikingia either Bank au sim , basi punde si punde na sms ya tuma kwa number hii zinaingia,

Na hii ni Kwa mitandao yote ya SIM Nchi TZ.

Mifumo haiko salama sana.

Tulishauri serikali iondowe Kodi kwenye number za SIM, ili number ya SIM iwe moja TU to infinity, hata kama akifariki ile number iendelee kubaki na taarifa zake mpaka mwisho wa Dunia.

Number ya SIM isisajiliwe MTU mwingine hata kama MTU kafariki miaka 1,000. Ilyopita.

Ili tuwe na secured database
 
Airtel mpk nimeamua kuona ni kawaida tu maana sina la kufanya,ukitoka kuongelea pesa tu hapohapo jumbe kama hizi zinafuata..Tabia mbovu sana waajiriwa wabongo uaminifu ni zero kabisa halafu hata hawaogopi ndio hayahaya ya CRDB kukwapua pesa za watu
 
Yaani hao wafanyakazi wao ni shida tupu aisee.
 
Siku ya leo,jumatano nilikuwa na mawasiliano na moja ya jamaa yangu kuhusu jinsi gani atanitumia fedha ambayo nilikuwa namdai,wakati tunaongea na kumaliza maongezi baada ya kuambizana niwekee kwenye namba yangu********** ,wakati nasubiri muamala uingie,alinipigia simu kuna ujumbe umetumwa kwake,within the spot,View attachment 3629730
Fcm kijani hao
 
Back
Top Bottom