Ni lazima kuna muunganiko kati ya maofisa wa kampuni na matapeli!...

kuna siku nilitumiwa milioni moja kupitia eatel, ndani ya dakika 20 ujumbe ukaja laki 5 imeingia kwenye acaunt yako na salio milioni moja laki tano elfu 38.

dakika hio hio simu ikapigwa , nikaingalia weee siku pokea , kucheki salio ni milioni ile ile na kilicho kuwepo.

nilistaabu sana , ila kuna namna mitandao wana mahusiano na hao jamaa.
Badae ikawaje??? Waliirudisha hio hela??

Cc Smart911
 
Hamna hela iliyo chukuliwa , ila nilitumiwa hela halisi kabisa kutoka kwa mtu nine mfahamu hela ya kazi.
Na tulikua tunaongea na simu na kukubaliana kabisa anatuma kiasi fulani muda fulani.

Alivyo tuma ndio ikaja meseji hewa kutoka kwa hao matapeli
Kuna jinsi anaiandika hio meseji na code namba zile muamala ukiingia , usipo kuwa makini kusoma unajua huu ni muamamala kweli umeingia.

Na kweli nilijua mtu kakaosea maana meseji imekuja nimeingiziwa laki 5, na hapo kabla nilitumiwa milioni.

Kwenye ile meseji ya huyo tapeli inasema salio lako sasa ni milioni na laki tano .

Muda huohuo simu ikapigwa ila sikupokea , kama ningepokea angeniambia kuna hela imeingia kimakosa umeiona , mimi kwa vile sikua na utulivu ningesema ndio na hapo anaanza kunielekeza jinsi ya kuirudisha na hapo .

So kwa situation hio unaweza kuona kama kuna mtu anakufuatilia vile , kwa nini kabla sijatumiwa hio hela haikuja meseji hio?
 
Sante sana kwa maelezo.

Kuna workmate mmoja qlipatwa na scenario kama hioo sema yeye aliingiziwa pesa nyingi akazitoa aloooooooooooooooooooooo .alipata tabu sana hadi leo hana hamu

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom