Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Eateli wanaongoza mbwa wale.Itakuwa ni baadhi ya wafanya kazi wao wasio waaminifu ndio wanacheza huo mchezo.
Ujumbe mzuri...but umeandika kwa haraka..typing errors, hebu edit kidogo tuelewe kiongozikuna siku nilitumiwa molioni moja kupitia eatel, ndani ya dakika 20 ujumbe ukaja laki 5 imeingia kwenye acaunt yako na salio milio moja laki nato elfu 38.
dakika hio hio simu ikapigwa , nikaingalia weee siku pokea , kucheki salio ni milioni ile ile na kilicho kuwepo.
nilistaabu sana , ila kuna namna mitandao wana mahusiano na hao jamaa.
Hawa jamaa wapo palepale ofisini kwao wanashirikiana na yule mhudunu wa hudumaSiku ya leo,jumatano nilikuwa na mawasiliano na moja ya jamaa yangu kuhusu jinsi gani atanitumia fedha ambayo nilikuwa namdai,wakati tunaongea na kumaliza maongezi baada ya kuambizana niwekee kwenye namba yangu********** ,wakati nasubiri muamala uingie,alinipigia simu kuna ujumbe umetumwa kwake,within the spot,View attachment 3629730
shukrani mkuuUjumbe mzuri...but umeandika kwa haraka..typing errors, hebu edit kidogo tuelewe kiongozi
Makusudi siyo error.Ujumbe mzuri...but umeandika kwa haraka..typing errors, hebu edit kidogo tuelewe kiongozi
Yaani hao wafanyakazi wao ni shida tupu aisee.Airtel mpk nimeamua kuona ni kawaida tu maana sina la kufanya,ukitoka kuongelea pesa tu hapohapo jumbe kama hizi zinafuata..Tabia mbovu sana waajiriwa wabongo uaminifu ni zero kabisa halafu hata hawaogopi ndio hayahaya ya CRDB kukwapua pesa za watu
Fcm kijani haoSiku ya leo,jumatano nilikuwa na mawasiliano na moja ya jamaa yangu kuhusu jinsi gani atanitumia fedha ambayo nilikuwa namdai,wakati tunaongea na kumaliza maongezi baada ya kuambizana niwekee kwenye namba yangu********** ,wakati nasubiri muamala uingie,alinipigia simu kuna ujumbe umetumwa kwake,within the spot,View attachment 3629730