Ni lazima kuna muunganiko kati ya maofisa wa kampuni na matapeli!...

Badae ikawaje??? Waliirudisha hio hela??

Cc Smart911
 
Badae ikawaje??? Waliirudisha hio hela??

Cc Smart911
Hamna hela iliyo chukuliwa , ila nilitumiwa hela halisi kabisa kutoka kwa mtu nine mfahamu hela ya kazi.
Na tulikua tunaongea na simu na kukubaliana kabisa anatuma kiasi fulani muda fulani.

Alivyo tuma ndio ikaja meseji hewa kutoka kwa hao matapeli
Kuna jinsi anaiandika hio meseji na code namba zile muamala ukiingia , usipo kuwa makini kusoma unajua huu ni muamamala kweli umeingia.

Na kweli nilijua mtu kakaosea maana meseji imekuja nimeingiziwa laki 5, na hapo kabla nilitumiwa milioni.

Kwenye ile meseji ya huyo tapeli inasema salio lako sasa ni milioni na laki tano .

Muda huohuo simu ikapigwa ila sikupokea , kama ningepokea angeniambia kuna hela imeingia kimakosa umeiona , mimi kwa vile sikua na utulivu ningesema ndio na hapo anaanza kunielekeza jinsi ya kuirudisha na hapo .

So kwa situation hio unaweza kuona kama kuna mtu anakufuatilia vile , kwa nini kabla sijatumiwa hio hela haikuja meseji hio?
 
Sante sana kwa maelezo.

Kuna workmate mmoja qlipatwa na scenario kama hioo sema yeye aliingiziwa pesa nyingi akazitoa aloooooooooooooooooooooo .alipata tabu sana hadi leo hana hamu

Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…