Hata Urusi ilimzuia kuiteka Syria hivyo haina nenoMarekani hii hii mkuu. Imetenda haki huko Ukraine. Maana bila Marekani tungesha acha kuiongelea hii vita siku nyingi. Maana Putin angesha iteka siku nyingi na kuweka raisi mamluki.
Nimesoma sehemu kwamba "formidable as they are, they will not be a game-changer" nikaishia hapo hapo.
Hapo juzi waziri wa mambo ya nje wa Urusi ,Lavrov akiwa New York alikumbusha kwa masikitiko mengi kuwa Marekani wakisaidiwa na Uiengereza sasa hivi wako vitani rasmi na taifa lake la Urusi.
Kauli yake hiyo inazidi kuungwa mkono na misimamo ya Marekni pamoja na matamshi yao ambapo Rais Biden alipokutana na Zelensky huko huko New York na katika kuhitimisha maamuzi ya kuipatia Ukraine makombora ya ATAMCS, amesema Ukraine sasa inabidi iipige Urusi kwenye maeneo yake ya ndani ndani.
Mizinga ya ATACMS yaliyoombwa na Ukraine kwa nguvu yana uwezo wa kupiga mpaka maili 190 ndani ya Urusi kutoka mipaka yake.
ATACMS ndiyo iliyotumika mwaka 1991 wakati Marekani ikiipiga Iraq kuyafikia maeneo ya mbali ya Iraq kulikokuwa na vituo vya gharama vya nchi hiyo ya kiarabu.
Ukraine must now take the war into Russia
Umenena kweli. Bila Russia Asad huenda angesha oza ardhini siku nyingi.Hata Urusi ilimzuia kuiteka Syria hivyo haina neno
PoyoyoKwa Sasa wa democrats, chini ya Biden, wanatafuta Vita ya Tatu ya Dunia Kwa nguvu zote wanazoweza.
Angalia Wanachokifanya Pale Taiwan - China .
Ukraine-Urusi...
Demos, uchaguzi wa mwakan hawatoboi, Sasa wameamua kuchagua njia ya Nguvu
Zinaburudisha sanaHizi habari ndiyo napenda kuzisikia
Kwa hiyo hayo ndio yanahalalisha udhalimu wa Urusi kwa Ukraine??Marekani Hii hii au kuna nyingine?? Marekani imewaua watu hapa Afrika kwa maelfu kupindua serikali kibao na kuua viongozi wetu wazuri wote...Akina Sankara..Gadafi...Biko...Samora...Lumumba na hapo hujagusa Vita wamefadhili na kuua mpaka leo Congo ..central afrika hao marekani hao..Huna hata haya kusema wanapenda haki..Watu waliokufa Juzi libya elf 20000 wote ni ushetani wa hao mnaosema wanapenda haki wakiua Rais wa Libya wakaacha nchi inawela wela..Msijifanye Vichaa nyie watu
Anapopigwa Ukraine wanashangilia, acha Warusi waonje matunda ya kazi yaoPoyoyo
Saa ya kupapaswa sharubi imewadiaHesabu alizopigiwa mrusi hatimae zimetimia. Kosa kubwa mno na zito ni pale Putin alipoivamia Crimea kwa mabavu na kuichukua.
Ninahisi Marekani anajiingiza kwenye mtego mbaya sana.
Hapo juzi waziri wa mambo ya nje wa Urusi ,Lavrov akiwa New York alikumbusha kwa masikitiko mengi kuwa Marekani wakisaidiwa na Uiengereza sasa hivi wako vitani rasmi na taifa lake la Urusi.
Kauli yake hiyo inazidi kuungwa mkono na misimamo ya Marekni pamoja na matamshi yao ambapo Rais Biden alipokutana na Zelensky huko huko New York na katika kuhitimisha maamuzi ya kuipatia Ukraine makombora ya ATAMCS, amesema Ukraine sasa inabidi iipige Urusi kwenye maeneo yake ya ndani ndani.
Mizinga ya ATACMS yaliyoombwa na Ukraine kwa nguvu yana uwezo wa kupiga mpaka maili 190 ndani ya Urusi kutoka mipaka yake.
ATACMS ndiyo iliyotumika mwaka 1991 wakati Marekani ikiipiga Iraq kuyafikia maeneo ya mbali ya Iraq kulikokuwa na vituo vya gharama vya nchi hiyo ya kiarabu.
Ukraine must now take the war into Russia
Kuna vita mbaya sana kuliko hii inakuja nahisi.Kwa nini dunia haitaki kuona na inajifanya ni kipofu kwa kile ambacho kinaweza kwenda kuitokea Ukraine?
Bado naendelea kuombea amani lakini naliona Giza la maumivu makali na vilio visivyokauka juu ya ardhi ya Ukraine, eeh Mungu epusha ulilonionesha.
Jana pana Tura alinitamanisha na kete mbovu nikabaki naiangalia tuu mpaka akafa na Pasati yake...USA akiona una nguvu anakutengenezea mazingira tuu nilipoona Rais wa Ukraine anasema anataka siraha na sio kukimbia nikajua tuu vita ndio kwanza imeanza...Putin aliingia mpaka Kiev alivyorudi nyuma anajua mwenyewe...Kuna mdau alisema kwamba urusi alisogezewa kete mbovu naye akajaa, Ukraine ilikuwa ni kete mbovu aliyosogezewa urusi
Wale wacheza draft tulishakutana nazo sana kete za hivi [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sababu Syria mamluki ndo walikuwa wakipigana, Ukraine ni wanajeshi kamiliHata Urusi ilimzuia kuiteka Syria hivyo haina neno
Ila vijana wa Russia wanatamani kwenda vitani?Wanajeshi kamili wanaisha kwa kasi kubwa.Vijana wadogo hawataki vita tena.Itabidi Zelensky baadae aende mstari wa mbele mwenyewe.vijana hawadanganyiki tena.
Wengi wameshindwa kuliona hili. Kuna wanaosema mrusi aliingia mtegoni.NATO nao kwa kutaka kumtega mwenzao wamejiingiza mtegoni kichwa kichwa kutoka kwa miguu ni shida.Ninahisi Marekani anajiingiza kwenye mtego mbaya sana.
Ninahisi Warusi kuna kitu wsnataka kufanya ila wanasubiri signal from enemy side
Kule Ukraine wanalazimishwa waende,wamebaki wachache hata wa kuwakokota wanakosekana.Ila vijana wa Russia wanatamani kwenda vitani?
Inapasuliwa na nani? Vita kati ya Russia na Marekani itaigawa Ulaya hii sio masihala ila ndiyo ukweli! Usije kudhani Ujerumani atapenda kupigana na Urusi tena mara baada ya vita ya 2 ya Dunia, usije kudhani Hungary atapeleka majeshi yake kupigana Urusi! Ata huyo Poland nina wasiwasi nae kama atajichomeka kwenye hiyo vita! Kwasasa mshirika wa karibu kabisa wa Marekani wa kufa na kuzikana ni Uingereza tu.Wazungu wanaanzishaga mambo yao kama mzaha mzaha hivi. Hii Russia itakuja kupasuka kweli.