Ni lazima sasa Ukraine iipige Urusi ndani kabisa-Biden

Ni lazima sasa Ukraine iipige Urusi ndani kabisa-Biden

Hapo juzi waziri wa mambo ya nje wa Urusi ,Lavrov akiwa New York alikumbusha kwa masikitiko mengi kuwa Marekani wakisaidiwa na Uiengereza sasa hivi wako vitani rasmi na taifa lake la Urusi.

Kauli yake hiyo inazidi kuungwa mkono na misimamo ya Marekni pamoja na matamshi yao ambapo Rais Biden alipokutana na Zelensky huko huko New York na katika kuhitimisha maamuzi ya kuipatia Ukraine makombora ya ATAMCS, amesema Ukraine sasa inabidi iipige Urusi kwenye maeneo yake ya ndani ndani.

Mizinga ya ATACMS yaliyoombwa na Ukraine kwa nguvu yana uwezo wa kupiga mpaka maili 190 ndani ya Urusi kutoka mipaka yake.

ATACMS ndiyo iliyotumika mwaka 1991 wakati Marekani ikiipiga Iraq kuyafikia maeneo ya mbali ya Iraq kulikokuwa na vituo vya gharama vya nchi hiyo ya kiarabu.

Ukraine must now take the war into Russia

Nimesoma sehemu kwamba "formidable as they are, they will not be a game-changer" nikaishia hapo hapo.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Marekani Hii hii au kuna nyingine?? Marekani imewaua watu hapa Afrika kwa maelfu kupindua serikali kibao na kuua viongozi wetu wazuri wote...Akina Sankara..Gadafi...Biko...Samora...Lumumba na hapo hujagusa Vita wamefadhili na kuua mpaka leo Congo ..central afrika hao marekani hao..Huna hata haya kusema wanapenda haki..Watu waliokufa Juzi libya elf 20000 wote ni ushetani wa hao mnaosema wanapenda haki wakiua Rais wa Libya wakaacha nchi inawela wela..Msijifanye Vichaa nyie watu
Kwa hiyo hayo ndio yanahalalisha udhalimu wa Urusi kwa Ukraine??
 
Hesabu alizopigiwa mrusi hatimae zimetimia. Kosa kubwa mno na zito ni pale Putin alipoivamia Crimea kwa mabavu na kuichukua.
Saa ya kupapaswa sharubi imewadia
 
Not all of those seen in the image will return from the so-called zero position, the furthest edge of the frontline, from which Moscow’s troops can be seen nearby.
“Those who say they are not afraid are lying. Everyone is scared. Every time it is scary. But we are here,”

1695787975254.png

Wachache waliorudi walikuwa kama huyu

1695787524658.png
 
Attachments

  • 1695787587287.png
    1695787587287.png
    677.7 KB · Views: 4

Hapo juzi waziri wa mambo ya nje wa Urusi ,Lavrov akiwa New York alikumbusha kwa masikitiko mengi kuwa Marekani wakisaidiwa na Uiengereza sasa hivi wako vitani rasmi na taifa lake la Urusi.

Kauli yake hiyo inazidi kuungwa mkono na misimamo ya Marekni pamoja na matamshi yao ambapo Rais Biden alipokutana na Zelensky huko huko New York na katika kuhitimisha maamuzi ya kuipatia Ukraine makombora ya ATAMCS, amesema Ukraine sasa inabidi iipige Urusi kwenye maeneo yake ya ndani ndani.

Mizinga ya ATACMS yaliyoombwa na Ukraine kwa nguvu yana uwezo wa kupiga mpaka maili 190 ndani ya Urusi kutoka mipaka yake.

ATACMS ndiyo iliyotumika mwaka 1991 wakati Marekani ikiipiga Iraq kuyafikia maeneo ya mbali ya Iraq kulikokuwa na vituo vya gharama vya nchi hiyo ya kiarabu.

Ukraine must now take the war into Russia

Ninahisi Marekani anajiingiza kwenye mtego mbaya sana.

Ninahisi Warusi kuna kitu wsnataka kufanya ila wanasubiri signal from enemy side
 
Kwa nini dunia haitaki kuona na inajifanya ni kipofu kwa kile ambacho kinaweza kwenda kuitokea Ukraine?

Bado naendelea kuombea amani lakini naliona Giza la maumivu makali na vilio visivyokauka juu ya ardhi ya Ukraine, eeh Mungu epusha ulilonionesha.
Kuna vita mbaya sana kuliko hii inakuja nahisi.

Mrusi anatumia mbinu ya kisaikolojia ya kujionesha mnyenge kidogo kisha akirudi anakuwa more than ever
 
Kuna mdau alisema kwamba urusi alisogezewa kete mbovu naye akajaa, Ukraine ilikuwa ni kete mbovu aliyosogezewa urusi

Wale wacheza draft tulishakutana nazo sana kete za hivi [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jana pana Tura alinitamanisha na kete mbovu nikabaki naiangalia tuu mpaka akafa na Pasati yake...USA akiona una nguvu anakutengenezea mazingira tuu nilipoona Rais wa Ukraine anasema anataka siraha na sio kukimbia nikajua tuu vita ndio kwanza imeanza...Putin aliingia mpaka Kiev alivyorudi nyuma anajua mwenyewe...
 
Sababu Syria mamluki ndo walikuwa wakipigana, Ukraine ni wanajeshi kamili
Wanajeshi kamili wanaisha kwa kasi kubwa.Vijana wadogo hawataki vita tena.Itabidi Zelensky baadae aende mstari wa mbele mwenyewe.vijana hawadanganyiki tena.
 
Wanajeshi kamili wanaisha kwa kasi kubwa.Vijana wadogo hawataki vita tena.Itabidi Zelensky baadae aende mstari wa mbele mwenyewe.vijana hawadanganyiki tena.
Ila vijana wa Russia wanatamani kwenda vitani?
 
Ninahisi Marekani anajiingiza kwenye mtego mbaya sana.

Ninahisi Warusi kuna kitu wsnataka kufanya ila wanasubiri signal from enemy side
Wengi wameshindwa kuliona hili. Kuna wanaosema mrusi aliingia mtegoni.NATO nao kwa kutaka kumtega mwenzao wamejiingiza mtegoni kichwa kichwa kutoka kwa miguu ni shida.
Kama mrusi atafanikiwa na mbinu yake hii ya kuvikokota vita vifikie miaka 2.5 NATO itakuwa imeshasambaratika kijeshi na kiuchumi.
 
Ila vijana wa Russia wanatamani kwenda vitani?
Kule Ukraine wanalazimishwa waende,wamebaki wachache hata wa kuwakokota wanakosekana.
Urusi nako ni kama Ukraine vijana wanasitasita lakini Urusi wakitumia mbinu za kuwapiga kampeni wapo bado wanaokubali kuingia vitani.Hii ni kwa vile idadi ya warusi ni kubwa sana kuliko Ukraine.Muda huu Urusi imeanza kuingia mashuleni kufundisha mbinu za kivita.Hili ni jeshi la akiba iwapo vita itaendelea kwa miaka 5 ijayo.Ukraine watu wake wengi wako nje kwa ukimbizi.
Mbinu anayotumia Ukraine sasa hivi ni kwatisha vijana wa Urusi wakatae nao kwenda vitani kwa kutoa matangazo ya kuuwa askari wa Urusi 600 kila siku.Vijana wa Urusi unaweza ukawapata kwani wanapewa vivutio vingi na wanatiwa moyo na silaha za masafa marefu hasa kutoka angani ambazo zinawafyeka vijana wa Zelensky bila wao kukabiliana nao ana kwa ana isipokuwa mara chache sana.
Umefahamu ?
 
Wazungu wanaanzishaga mambo yao kama mzaha mzaha hivi. Hii Russia itakuja kupasuka kweli.
Inapasuliwa na nani? Vita kati ya Russia na Marekani itaigawa Ulaya hii sio masihala ila ndiyo ukweli! Usije kudhani Ujerumani atapenda kupigana na Urusi tena mara baada ya vita ya 2 ya Dunia, usije kudhani Hungary atapeleka majeshi yake kupigana Urusi! Ata huyo Poland nina wasiwasi nae kama atajichomeka kwenye hiyo vita! Kwasasa mshirika wa karibu kabisa wa Marekani wa kufa na kuzikana ni Uingereza tu.
 
Back
Top Bottom